Isipochukuliwa hatua za dhati tutayoona kama si kuyasikia yaliyotokea Kilosa

mzee wa ndoto

Member
Jul 10, 2020
75
46
Jamhuri ya muungano wa tanzania
.....
Mkoa wa pwani Jimbo la chalinze kata mbalimbali wakulima wamekuwa wakikutana na kazia mbalimbali.

Hususani mifugo aina ya ng'ombe imekuwa tatizo ambalo selikali za vjiji mbalimbali wameshindwa kulipatia ufumbuzi

Badala yake wakulima wasione sehem ya kwenda kupata msaada na kufikia uwamuzi wa kuyaterekeza mashamba kutokana na vitisho, msumbufu wa kulinda ng'ombe wasiingie shamba

Au mazao kuharibiwa na kukosa fidia nk..

Tumeyaanda mabango yako teyali tunakusubiri rais samia na kama huna ratiba ya kuja siku za karibuni

Basi tuma vijana wako

Waje watusikirize wa kulima wa chalinze na kata zake na vijiji vyake tutoe kero zetu kilimo ndio kura yetu ada za watoto wetu nk..

#hatuna ajira nyingine
 
Back
Top Bottom