Mpasuajipu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 836
- 49
Mpaka zikitekelezwa ahadi zifuatazo ndio mambo yatabadilika:
Maalim Seif (CUF)
1. Zanzibar kuwa kama Hong Kong Unguja
2. Kuendeleza mashamba ya Karume- Kibanda maiti
3. Kubadilisha katiba na kuunda katiba mpya ya muungano na Zanzibar- Pemba
4. Kubadilisha mfumo wa uteuzi makamishna wa tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC)- Unguja
5. Kuwaunganisha wazanzibari ili kujenga umoja, udugu na ushirikiano-Pemba
6. Kuwasilisha hoja ya kubadili katiba ya Zanzibar na ya Muungano-Viwanja vya Kibanda Maiti
7. Kuondoa bajeti ya ZEC isiwe chini ya waziri kiongozi na badala yake kuwa inajitegemea yenyewe- Pemba
8. Kuondoa ulazima wa mwenyekiti wa tume kuwa jaji na badala yake awe mtu anayejua sheria-Unguja
9. Serikali kuundwa na vyama vyote vilivyopata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi- Unguja
10. Kujenga jamii yenye maelewano na umoja -Pemba
11. Kutokochagua kiongozi kwa urafiki bali kwa uwajibikaji na uadilifu -Unguja na Pemba
12. Kudhibiti vyombo vya dola vinavyofanya kazi kwa matakwa ya watu binafsi -Kibanda aiti
13. Kukomesha rushwa-Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba14.Kuhakikisha ununuzi wa zabuni unakuwa wazi na wananchi kuruhusiwa kuhoji kuhusu zabuni-Jimbo la ole Pemba
14. Kuongeza kima cha chini cha mshahara hadi Sh150,000-Mkanyageni Pemba
15. Kubadili vikosi vyote vya usalama na kulipwa mishahara kima cha chini kulipwa Sh180,000-Chakechake Pemba
16. Kubadilisha kikosi cha KMKM kuwa kikosi cha mwambao-Wawi
17. Wazee kupanda daladala bure na wale wasiokuwa na watoto kulelewa bure-Majimbo ya Chakechake
18. Kufuta michango yote ya shule za msingi na sekondari, kila mwanafunzi kuwa na kompyuta na badala ya kuishia darasa la saba sasa kuishia kidato cha sita-Hoteli ya Bwawani
19. Kutoa kitambulisho cha kila Uzanzibari na kufuta cha Mzanzibari mkaazi- Uwanja wa Hospitali ya Mnazi Mmoja
20. Kila mzanzibar kupata pasi ya kusafiria- Hoteli ya bwawani Zanzibar
21. Kuanzisha shirika la ndege Zanzibar -Viwanja vya Kibanda Maiti
22. Kupandisha uchumi wa Zanzibar kutoka 6.8 hadi 15 kila mwaka kwa Zanzibar -Unguja
23. Kutoa uhuru zaidi kwa vyombo vya habari pamoja na kusaidia uanzishwaji wa Baraza la Habari Zanzibar-Unguja na Pemba
24. Kuweka hadharani nambari yake ya simu - Viwanja vya Kibanda Maiti
25. Kubadili sheria ya uwekezwaji-Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar
26. Kila mwanafunzi kuwa na komputa yake-Viwanja vya Kibanda Maiti
27. Akiwa rais hata waziri au mkewe atafungwa akiwa ametenda kosa-Viwanja vya Tibirizi Kisiwani Pemba
28. Kujenga bandari ya Mkokoto na Pemba ili kuweka usafiri wa haraka wa boti ziendazo kasi-Tibirizi Kisiwani Pemba
29. Ahadi kudhibiti kuvuja kwa mitihani- Unguja