Isikilize Hapa Report ya Watu Walio Gandana Wakifanya Mapenzi Hospitali ya Temeke

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Kupitia Leo Tena ya Clouds Fm leo kuna ripoti iliyotolewa na mashuhuda kwamba huko Temeke hospitali Dar es salaam leo kuna mwanamke mke wa mtu ambae amefikishwa hospitalini huku mwili wake ukiwa umegandana na mwanaume aliefumaniwa nae. Bado Gea Habib anaendelea kufatilia kwa Mganga mkuu pamoja na vyanzo vingine lakini kwa sasa unaweza kuwasikiliza baadhi ya mashuhuda hapo chini.


Play
0.00 / 1.10

http://soundcloud.com/millard-ayo/www-millardayo-com-nov8-tmk
 
hizi mambo siku hizi zinatufanya tulipuke roho tunapochukua madem mnato..yani baada ya gemu unahisi kama umenasa kiaina..dah
 
Back
Top Bottom