Vipi Mkuu , kachemsha nini? By the way , hiyo Arusha ilivyochafu huyo Isdore hawezi kuinfluence chochote positively?
Ukifika Moshi , ukalinganisha na Ar. ni kifo na usingizi katika hilo la usafi wa mji. Lol
Kila lakheri ktk kutafuta hiyo profile, namkumbuka Shirima enzi zake akiwa umoja wa vijana(CCM) jinsi bendi yao na kina Marehemu Maneti ilivyokuwa ikitamba. Zamani alikuwa makini kweli na akatokea kuwa professional RC!
Nadhani huyu ni miongoni mwa ma-RC wakongwe kabisa yeye na Anatory Tarimo RC Mtwara sijui kama wanajua kazi nyingine yoyote duniani.....
Shirima anajiita yeye ni mjamaa damu damu. Alimaliza kidato cha 6 Ilboru mwaka 1970. Halafu akaenda UDSM. Baada ya hapo 1974 akaajiriwa na TANU makao makuu Lumumba. Then akaenda Kivukoni Chuo cha CCM. Then baada ya CCM kuzaliwa 1977 alifanywa kuwa Katibu Mtendaji wa Mkoa. Then Head office CCM. Halafu akafanywa Mkuu wa Mkoa tangu enzi za Mwinyi hadi leo. ALizoea sana kuwa MNEC mpaka mwaka juzi alipoangushwa. Nahisi it frustrated him. Anapenda kufuga kile kionja mchuzi ambacho kinamfanya aonekane mchafu. Ndiyo mnamtegemea ausafishe mji wa Arusha wakati appearance yake is not impressive.
Huyu mjamaa siyo ndiye aliyeibadilisha hali ya Dodoma na Mtwara?????Wadau,
Natafuta profile ye Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndg. Isidore Shirima. Mwenye nayo naiomba.
Shadow
Anapenda said:kufuga kile kionja mchuzi ambacho kinamfanya aonekane mchafu.Ndiyo mnamtegemea ausafishe mji wa Arusha wakati appearance yake is not impressive.
Kwa kweli sina profile ya huyu mkuu !Thanks Edo,
if you can give me ata kama ni sketched profile I will be much honored.
Nadhani huyu ni miongoni mwa ma-RC wakongwe kabisa yeye na Anatory Tarimo RC Mtwara sijui kama wanajua kazi nyingine yoyote duniani.....
Bila kumsahau Meja jenerali said kalembo aliye tanga kunani.
Nakunbuka alinifundisha Same secondary school miaka ya 70, sikumumbuki sasa kuwa alikaa miaka miaka mingapi pale. Lakini katika profile yake ijulikane kuwa alikuwa ni mwalimu wa sekondari.Shirima anajiita yeye ni mjamaa damu damu. Alimaliza kidato cha 6 Ilboru mwaka 1970. Halafu akaenda UDSM. Baada ya hapo 1974 akaajiriwa na TANU makao makuu Lumumba. Then akaenda Kivukoni Chuo cha CCM. Then baada ya CCM kuzaliwa 1977 alifanywa kuwa Katibu Mtendaji wa Mkoa. Then Head office CCM. Halafu akafanywa Mkuu wa Mkoa tangu enzi za Mwinyi hadi leo. ALizoea sana kuwa MNEC mpaka mwaka juzi alipoangushwa. Nahisi it frustrated him. Anapenda kufuga kile kionja mchuzi ambacho kinamfanya aonekane mchafu. Ndiyo mnamtegemea ausafishe mji wa Arusha wakati appearance yake is not impressive.