Ishu ya Naibu Waziri wa madini iangaliwe upya, kuna hii kitu inaitwa Anxiety na Panic Attack

Yule lazima a panic.
Kwenye Kura za maoni alikua namba tatu, yaani hata CCM wenzake hawamkubali.
Aligombea ubunge na Bwege, yule Hana ubavu wa kumshinda Bwege.
Inamaana alibebwa tangia Kura za maoni.
Kwa kubebwa kule lazima nafsi ilikua inamsuta kwamba. ' sikubaliki popote halafu leo nakua waziri kwa kuwapoka Wana Lindi haki yao' lazima a panic.
 
Hapi ndipo utajua kuwa kuapa mbele ya Idi Amin wetu si mchezo.

Inawezekana pia ana matatizo ya macho anahitaji miwani.

Ila si mtu smart, kwa sababu kiapo kinajulikana na ni kifupi, angeweza hata kukariri kabla.
 
Back
Top Bottom