Ishahuri Serikali ya JK Jinsi yakukabiliana na Wafanyabiashara ya Mafuta

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Ishahuri serikali iliyopo madarakani ianze mimkakati mapema ya kuwaadabisha wafanyabiashara ya mafuta kabla nchi hii aijaangamia kwa kuporomoka kwa uchumi na shughuli za uzalishaji kusimama!JK sema tamko bila kujali kama ni maswahiba wa CCM NCHI IPO MAHALI PABAYA.
 
Iache kuwategemea na kuwaomba mafuta wakat wa kampen,lakin pia wapo wafanyabiashara wa mafuta ambao pia ni wanasiasa,,,,,,hapo napo pabaya
 
Ishahuri serikali iliyopo madarakani ianze mimkakati mapema ya kuwaadabisha wafanyabiashara ya mafuta kabla nchi hii aijaangamia kwa kuporomoka kwa uchumi na shughuli za uzalishaji kusimama!JK sema tamko bila kujali kama ni maswahiba wa CCM NCHI IPO MAHALI PABAYA.

Unatafuta tusi kutoka kwa Kikwete, atakuambia kwani yeye kisima cha Mafuta? Hilo unalolitafuta kutoka kwa Fisadi Kikwete utalipata
 
Simple,

Wapite kurasini kwenye fuel depots na kuchukua stock available (ambazo najua wanazo),
Kisha wawaache wazimalizie @ old/higher prices then anaemaliza atashift mwenyewe kwenye new/low price.
Otherwise siku hizi mambo yako ki-system zaidi kiasi cha kwamba ukienda kwenye account package uka-print sales history inakuletea kama jamaa bado wanayo ngapi ama wamemaliza.
 
Back
Top Bottom