Msanii wa kuigiza ambae anakuja juu kwa skendo za kuacha watu midomo wazi ( Isabela a.k.a Vai wa ukweli) amefunguka kwa kusema yeye ni zaidi ya lulu na huwezi kumlinganisha na Mtoto mdogo Elizabeth a.k.a Lulu,"am next level Lulu haniwezi hata kimapenzi niko juu.
"Najua sana mapenzi kuliko kuigiza so najivunia kuwa na vipaji vingi kadri siku zinavyokuja ntaviweka hadharani" alitamba isabela.
WAZO LANGU:
HIVI NI KWELI DADA ZETU MNATAFUTA UMAARUFU KA STAILI HII? MMMMH!!! SIJUI NTAMUOA NANI?!!!