Is WikiLeaks revelation a diversionary tactic?

Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
413
In the last few days, there has been an intense and charged discussion about Weakleak revelation on what is alleged to be the President's dress offer from the owners of Kempiski Hotel, the President's request for training opportunity for two former state house operatives, and Membe's view on French Government. This discussion came barely hours after a more serious and stunning revelation about the real perpetrators of the EPA financial fleecing through Kagoda Agriculture Limited. The ownership of Kagoda and movement of the fleeced funds was uncovered by a lawyer friend, an activist and self confessed Chadema stalwart, Kainerugaba Msemakweli. Through Msemakweli, Tanzanians have, for the first time, been treated to what was otherwise a guarded secret about who the owners of Kagoda are, how they accessed the funds, how they externalized it etc, etc. But more significantly, we are now aware that not a single sent of the Kagoda funds was spent on Kikwete's bid to state house. Msemakweli has pledged utmost cooperation with a view to ensuring that those who are responsible are brought to account. He has since recorded a statement with the investigators.

In the midst of this significant debate, some smart guys have sneaked in a debate about who funded acquisition of the then Foreign Minister's attire and other less important and trivial issues. These trifling issues have overtaken the debate on Kagoda and the initiators of the threads are pulling as many contributors as possible, and the discussion has now taken an ugly personal turn that has no bearing on the problems that our people are currently embroiled in. The Kagoda issue been consigned to a back burner and a section of contributors has already started to ridicule efforts so far employed by Msemakweli.

The timing of the weakleak revelation and the nature of the discussion leaves little doubt that there is a deliberate effort to scuttle the efforts so far employed by Msemakweli and the like minded Tanzanians who are determined to get to the root of the scam and move the authorities to act decisively against the perpetrators and beneficiaries of the EPA scam. For sure, the efforts to dramatize trivial or petty issues at this point in time is nothing but a diversionary tactic that should be resisted vigorously!
 
Indeed this is weakleak from a WikiLeak site. What makes it weak is the weakness of the news that comes out of the revelation. I fully agree with you that this is a plot by the negative forces. Look at Manji's unsigned statement. He is trying to malign and discredit Msemakweli but the fact remains that he should deal with the message and not the messenger.

I ma sure this diversionary tactic will not find any purchase in here.
 
In the last few days, there has been an intense and charged discussion about Weakleak revelation on what is alleged to be the President's dress offer from the owners of Kempiski Hotel, the President's request for training opportunity for two former state house operatives, and Membe's view on French Government. This discussion came barely hours after a more serious and stunning revelation about the real perpetrators of the EPA financial fleecing through Kagoda Agriculture Limited. The ownership of Kagoda and movement of the fleeced funds was uncovered by a lawyer friend, an activist and self confessed Chadema stalwart, Kainerugaba Msemakweli. Through Msemakweli, Tanzanians have, for the first time, been treated to what was otherwise a guarded secret about who the owners of Kagoda are, how they accessed the funds, how they externalized it etc, etc. But more significantly, we are now aware that not a single sent of the Kagoda funds was spent on Kikwete's bid to state house. Msemakweli has pledged utmost cooperation with a view to ensuring that those who are responsible are brought to account. He has since recorded a statement with the investigators.

In the midst of this significant debate, some smart guys have sneaked in a debate about who funded acquisition of the then Foreign Minister's attire and other less important and trivial issues. These trifling issues have overtaken the debate on Kagoda and the initiators of the threads are pulling as many contributors as possible, and the discussion has now taken an ugly personal turn that has no bearing on the problems that our people are currently embroiled in. The Kagoda issue been consigned to a back burner and a section of contributors has already started to ridicule efforts so far employed by Msemakweli.

The timing of the weakleak revelation and the nature of the discussion leaves little doubt that there is a deliberate effort to scuttle the efforts so far employed by Msemakweli and the like minded Tanzanians who are determined to get to the root of the scam and move the authorities to act decisively against the perpetrators and beneficiaries of the EPA scam. For sure, the efforts to dramatize trivial or petty issues at this point in time is nothing but a diversionary tactic that should be resisted vigorously!
Mkuu acha hofu. Hizi juhudi za hawa jamaa ni sawa na kuukata mbuyu na wembe. Hawatafanikiwa!
 
Kuna wakati mimi huwa najiuliza kama kweli nchi hii watu tunachukia ufisadi kikweli au ni kwa vile sisi hatujapata nafasi ya kuwa mafisadi. Inashangaza kuona leo watu wanapotezea juhudi hizi na wako busy kumchimba Kikwete na kuendelea kuwapa ahueni majizi hawa ambao kusema ukweli sasa wametaitiwa na huyu mwanaharakati!
 
Mkuu acha hofu. Hizi juhudi za hawa jamaa ni sawa na kuukata mbuyu na wembe. Hawatafanikiwa!

Usidharau uwezo wa mafisadi. Wameiyumbisha nchi hii pakubwa na wamenunua watu wengine wenye tamaa za Yuda, na kwa bahati mbaya wengi wa wanasiasa wetu hicho ndicho kilichowapeleka kwenye siasa. Cha ajabu taarifa za ununuzi wa suti ni za miaka zaidi ya saba lakini eti leo zinafanywa kuwa ni breaking news. Upuuzi mtupu.
 
Kaka hii conspiracy humu JF ina mtandao mpana sana na inafika wakati hata baadhi ya thread zinapigwa chini kabla hata hazijazaliwa na nyingine kupotezewa baada ya uchangiaji wa muda mfupi. Lakini ukiangalia jinsi hizo WikiLeaks zenyewe zilivyogawanywa na kutolewa kwa vipande zimewa-pre-occupy wachangiaji kibao na huku kuacha issues za maana zanagaagaa bila kuungwa mkono. Lakini yana mwisho haya!
 
This is really appreciated. You have certainly hit the bull. The only consolation is that this cannot go on forever. There will come a time when people will realise that some people are just noise makers without any real desire to fight the evils that are being perpetrated to the majority poor of this country.
 
I believe you wanted to talk about WikiLeaks and not WeakLeaks or Weakleak as alluded above!!

About Kagoda, his highness brother of yours has been tiptoeing on the issue for the past 6 years, how funny that now he's found himself dragged down by an under current of "wardrobe malfunction" you try to bring Kagoda to the front pages?? Actually scrap this, kwanini uwazuie watu ku-discuss wanachoona kinawafaa kwa muda wanaotaka wenyewe? I believe JF has enuff members to discuss suitgate and kagoda both simultaneously.
 
If indeed it is a GATE as you allege. What amazes me is the way people are so obsessed about discussing petty issues at the expense of weighty issues. Msemakweli was never involved in this matter before. He blew up as soon as it came up. Given its importance, it deserves to be a topical issue that should not be subordinated for selfish interests.
 
Mkuu acha hofu. Hizi juhudi za hawa jamaa ni sawa na kuukata mbuyu na wembe. Hawatafanikiwa!
Mkuu fafanua hapo kwenye red?Who are you referring to? Kina Kagoda au Msemakweli anayeweka wazi uozo au wikleaks? Nani anamgawa nani endapapo our resources have been misapropriated while the culprits are free mitaani>
 
Fafanua mkuu? Do u mean kile kinachowekwa hapa si halisi> au michango mingine imepotezewa na mods>
Kaka hii conspiracy humu JF ina mtandao mpana sana na inafika wakati hata baadhi ya thread zinapigwa chini kabla hata hazijazaliwa na nyingine kupotezewa baada ya uchangiaji wa muda mfupi. Lakini ukiangalia jinsi hizo WikiLeaks zenyewe zilivyogawanywa na kutolewa kwa vipande zimewa-pre-occupy wachangiaji kibao na huku kuacha issues za maana zanagaagaa bila kuungwa mkono. Lakini yana mwisho haya!
 
If indeed it is a GATE as you allege. What amazes me is the way people are so obsessed about discussing petty issues at the expense of weighty issues. Msemakweli was never involved in this matter before. He blew up as soon as it came up. Given its importance, it deserves to be a topical issue that should not be subordinated for selfish interests.

Kamanda Mbopo, the issues you are keen seen discussed are ongoing and are being discussed alongside suitgate!

For instance, you personally had nothing else to add to yesterday's discussion about Manji and Kagoda, an ongoing topic that was started by Invisible apart from a comment below: (https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/170430-manji-be-smart-bwana-3.html#post2466431)
Maskini mhindi kajiumbua

And in Msemakweli's main discussion you had nothing to say(https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ka-mpya-za-kagoda-zawalipua-rostam-manji.html). Again, an ongoing debate that has been there for over a week.

Hiki ndicho kinachonishangaza kwa baadhi yenu. Mnalalamika watu wanapoongelea mambo fulani hivi msiyoyapenda au yanayowagusa moja kwa moja, yet kwenye mambo mnayotaka watu kuyaongelea you don't bother to contribute or come up with new information to keep those discussion alive. And judging from your writing style and sentiments; you seem privy to some info that you want to expose but are hesitant of the world to get its hands on. Kwa hiyo unajikuta kwenye hii cycle ya nataka-sitaki! Who he dares, wins! WikiLeaks have dared to expose and they surely have won support around the world. Of course with devastating impact to some governments.

Basi, Mkuu kama wewe una info about Manji, wewe weka au pitisha kwa akina Invisible watu watadiscusss accordingly, kama tu vile wanavyo discuss suitgate!! Ahsante.
 
If indeed it is a GATE as you allege. What amazes me is the way people are so obsessed about discussing petty issues at the expense of weighty issues. Msemakweli was never involved in this matter before. He blew up as soon as it came up. Given its importance, it deserves to be a topical issue that should not be subordinated for selfish interests.
K aka, kununuliwa suti na Mwarabu halafu umpe eneo la mahakama ya rufaa atanue kwa biashara zake si petty issue. It is corruption gone amok.
Let us discuss it. And by the way, I do not agree with Msemakweli. Mkapa mwenyewe yuko kwenye rekodi akimwambia former President of Botswana kwamba fedha za EPA zilienda kusaidia uchaguzi wa Kikwete. Sasa tumwamini nani? Hao hao wanaotaka kutuaminisha kuwa suala la suti ni petty ni wale wale wanaotaka tuamini kuwa Kikwete had nothing to do with Kagoda na wizi wa fedha za EPA.
 
Mbopo is just worried about unexpected revelations of his boss... kibaya zaidi ni kwamba zile kauli au matendo yaliyodhaniwa yatakua chini ya carpet sasa yanatoka...

THE GOOD THING IS THAT JF MEMBERS ARE TAKING ALL THOSE ISSUES BEING PETTY OR NOT SERIOUSLY AND THE WAY THINGS SPREAD NOWADAYS WITH SMS AND UPGRADED MOBILE PHONES IS EXCITING

Some can run, but cant hide

tic, toc, tic, toc....
 
K aka, kununuliwa suti na Mwarabu halafu umpe eneo la mahakama ya rufaa atanue kwa biashara zake si petty issue. It is corruption gone amok.
Let us discuss it. And by the way, I do not agree with Msemakweli. Mkapa mwenyewe yuko kwenye rekodi akimwambia former President of Botswana kwamba fedha za EPA zilienda kusaidia uchaguzi wa Kikwete. Sasa tumwamini nani?

Mkuu heshima mbele, it is a blunder to believe kwamba rais akipewa suti ni petty issue (one has to look at the whole thing comprehensively, mwarabu ametanuka sana these days nchini)

Hayo ya msemakweli, nimeshindwa hata kucomment kule kwingine kwasababu naamini yule jamaa anaserve two masters at the same time and he will be at a loss in the end. waliompa data pia wana-cover up zao
 
K aka, kununuliwa suti na Mwarabu halafu umpe eneo la mahakama ya rufaa atanue kwa biashara zake si petty issue. It is corruption gone amok.
Let us discuss it. And by the way, I do not agree with Msemakweli. Mkapa mwenyewe yuko kwenye rekodi akimwambia former President of Botswana kwamba fedha za EPA zilienda kusaidia uchaguzi wa Kikwete. Sasa tumwamini nani? Hao hao wanaotaka kutuaminisha kuwa suala la suti ni petty ni wale wale wanaotaka tuamini kuwa Kikwete had nothing to do with Kagoda na wizi wa fedha za EPA.

Niia kubwa ya Msemakweli nadhani ni kuwachonganisha jamaa ndani kwa ndani. Of course it is good for us whichever way, kwani tunachoangalia ni matokeo ya kuona these culprits are brought to justice. Anajua fika kwamba akitamka CCM si ma beneficiary wa EPA, basi the masses will rally in support.
But truth be told, we know to a great extent that, ni sharti kwamba campaign ilipata hela kabla ya uchaguzi. Swali ni - hizo hela zilitoka wapi na kuingiaje kwenye campaign trail ya CCM, na hilo ndo' jambo la kuangaliwa. "Nimeshaambiwa" kwamba mtu kama Mramba alikuwa na masanduku kibao yenye noti kutoka BoT (yale ya mizinga) nyumbani kwake kwa ajili ya uchaguzi. Katika pilika pilika za ku-handle hiyo mipesa mingi, ilibidi amkabidhishe mwanaye wa kiume majukumu ya kuangalia na kugawa...

Basi kilichopo hapa ni kuangalia kama hizo hela za EPA, ambazo wajanja walikuwa wanazijua zipo idle kwa muda mrefu, ziliibiwa baada ya uchaguzi ili kufidia deficit iliyoachwa na uporaji wa mabillioni kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi in time. Na kwa vile CCM ilikuwa imeshashinda, basi ku-organise cover-up ya traces ilikuwa easier kama opposition ingeliingia madarakani, jambo ambalo lisingewezekana kwa kipindi hicho cha 2005. Hivyo hela zilichukuliwa toka BoT kabla ya uchaguzi bila nyaraka wala trace, kisha EPA ikachukua nyingi zaidi ili kufidia pengo lililoachwa na nyingine kuneemesha majangiri!!!
 
Back
Top Bottom