Is This The Kenya Kibaki Wants?

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 7, 2006
302
2


I. WHAT I GATHER AROUND IN SUMMARY

WESTERN COUNTRIES ACCEPT, KENYAN ELECTION WAS STOLEN: http://www.guardian.co.uk/leaders/story/0,,2233471,00.html


21305333.JPG


21304897.JPG


21307251.JPG


21307097.JPG


21308613.JPG


21307261.JPG


21306849.JPG


21308443.JPG


21309155.JPG


21308995.JPG


_44326225_afp416cry.jpg
 
K-T

Poleni sana kwa yanayoendelea huko Kenya lakini ndio aliyoyataka Kibaki na kama uliyoyasema ni kweli(kuhusu Millitary kuingilia kati) basi naona hatari kubwa zaidi maana Vita kama haijaanza basi ndio inaanza. Let's see.
 
Duha yatia huruma mno kuona situation kama hii!!!huyo mwai kibaki hivi kina moi wangemfanyia hivyo angefanyaje wakati uleee?kwanini na asilet democracy i take place wajimini??ndio shida ya siasa zetu watu ni walafi tuu nothing else!!shame on him!!

sasa ona if it wont be seriously cinsidered rwanda ya 94 itatokea halafu ikishafikia stage mbaya ndio hao washenz wa nje watakuja eti kusuluhisha mambo why shudnt they come mapema then??

nawaonea huruma watu wanavyopigwa na kupigwa hadi kuchomana visu,choma moto mambo halafu hata odinga naye akiingia madarakani he can turn to be another disastor tuu kz once mtu akiwa nje anakua na all the mawazo ya kuleta maendeleo ya kweli but once akipata ulaji tuu,forgets all abt the people who gave him the employment!!
 
Tunafanya uchaguzi kumfurahisha nani kama hatuko tayari kukubali matokeo yake?
Mungu atupe hekima ili kulinusuru taifa la Kenya na Jumuiya nzima ya Afrika Mashariki.

Kukubali kushindwa nayo ni heshima kubwa kuliko kulazimisha ushindi.
Kibaki aachie ngazi kulinusuru taifa
 
Kuna mtu ananidokeza hapa kwamba kuna mkono wa CCM juu ya kubadili matokeo yale je kuna ukweli wowote ?
 
MKONO WA CCM??? This can't be possible, may be they had CCM blessings!!!

I can believe this, all marking shows that the trick can be traced back to Tanzania, bara na Visiwani. So i will not be suprised, probably this is the only thing "we" can export to Kenya. Remember that Kenyans are exporting a lot to Tanzania and
Kenya exports have cause a considerable demage to our economy, CCM export may do just the same to them!
 
Kuna mtu ananidokeza hapa kwamba kuna mkono wa CCM juu ya kubadili matokeo yale je kuna ukweli wowote ?

Lunyungu ach unafiki,Jambo lolote baya unafikiri linafanywa na CCM,Mbona juzi juzi hapa Chadema wenyewe wakati wa uchaguzi wa Makamu wa Rais kulikuwa na Fitina Za hapa na pale an mambo ya ukabila,
Nadhani hili ni Fundisho kwa Watanzania wote,Amani inaweza ikapotea kama tukichagua watu wa ovyo,hasa wapinzania wanopenda madaraka.
Chama Cha mapinduzi Kidumu Milele na Fikra za Mwalimu Zitaendelea kudumishwa Milele.
 
i was asking myself, what kind of future is kibaki and his collegues trying to create because this shows explicitly that people can steal votes and they will be on the sides of angels. the oppressed party is treated as the devil.

sasa what examples are they setting to the youg generation, yani class eight and form four have the ticket steal exams and if they pass, then they are angels. Jamani how can kibaki steal votes in broad daylight, is he thinking that Kenyans are that stupid and the propaganda by KBC announced by alfred mutua kweli wanadhani people will buy that? can you really lead a nation whose majority hate you.

K-T it it possible for ODM to organise a Ukraine riot?
 
Napenda kuwapa pole wana EA Wote kwa sababu, matatizo ya jirani zetu wakenya ni yetu sote! Kama hali itakuwa mbaya zaidi tegemea wakimbizi huko Arusha, Kilimanjaro, Mwanza, Kampala etc. Mungu aepushe mbali balaa hili huko Kenya.
 
Nahisi Pemba itakuwa ni karibu zaidi...
Aidha wanapaswa kukaribishwa kwa mikono miwili, zaidi wale wenye jamaa zao katika fukwe za kaskazini na zile za mashariki ya Unguja watapeta...
 
..huyu sijui wakubwa watamfanya nini. je watamvukuza toka Common Wealth? Je watamuwekea vikwazo vya uchumi?

..uchaguzi huu ni mbaya kuliko wa Zimbabwe, au Nigeria, kwasababu umevurugwa wakati wa zoezi la kuhesabu kura.
 
Kimsingi Jumuiya ya Commonwealth wanakuwa na watu wao wa kuangalia mwendendo wa upigaji kura kwa kila nchi mwanachama. Kwa hiyo basi, iwapo kulikuwa na kasoro za kiuchaguzi katika upigaji kura nchini Kenya basi jamaa wale waliokuwa wametumwa na commonwealth lazima waandike kitu cha namna hiyo katika taarifa zao kwa wale waliowatuma. Iwapo wataandika taarifa chafu, basi Kibaki ana la kujibu kwa uongozi wa Jumuiya.
Na iwapo Kibaki atatangaza ali ya hatari kwa nchi yake, kutokana na vurugu zinazoendelea, basi maamuzi ya commonwealth ni kumchukulia hatua za kinidhamu kama vile walivyofanya kwa Mussharaf wa Pakistan. Hio ndio hali halisi.
Ila binafsi nasikitika sana kuona ndugu zangu na jirani zangu wa Kenya wamefikia hatua ya namna hii, watu kuuwawa, nyumba kuchomwa moto na uporaji uliokithiri.
Mungu awaepushe wasiingie katika vita ya wenyewe kwa wenyewe! Nisingependa hili litokee, kwani kurudi katika amani waliyokuwa wameizoea itakuwa ngumu sana kama wataingia vitani.
Lakini pia ikumbukwe kwamba ni Wakenya hawahawa waliomuondoa Muingereza kwa vita ya Maumau, kwa hiyo huenda hawajasahau mbinu zao, ndio uoga wangu hasa ulipo iwapo wataamua ku dela na Kibaki kwa namna hii!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom