Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
wanajifanyaga wenye misimamo sana, wako wapi sasa
wanajifanyaga wenye misimamo sana, wako wapi sasa
wanajifanyaga wenye misimamo sana, wako wapi sasa
unajitetea tu mkuu ila kama nawe ni mmoja wa hao poleeYaani unafikiri imani ya mtu utaondoka kwa kuona? Wao wameona kwa vile kimepitishwa na unafikiri ujinga wa mtu ukupatishe tabu? Kwani ukiangalia kinyesi njiani unakuwa umekichezea na kuchafuka?
Msimamo ni katika taratibu za dini lakini ubinadamu unabakia pale pale,wao ni wanadamu wana hisia kama wengine na macho yao hayabagui.
Duh, nimerud bibie, vp hatutukanani tena? maana kale kaBAN ulikonitengenezea kamenisaidia sana kumalizia vitest vyangu. Nichokoze kidogo basiiii, ila round hii usije kwa PM, 'tumalizane' hapahapa!!
unajitetea tu mkuu ila kama nawe ni mmoja wa hao polee