Is this possible?

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
1,233
404
Aisee nimeshangazwa sana na hili.

Inawezekana vipi?

Yani kuna jamaa hapa ana girlfriend wake na anakula mzigo kama kawaida.

At the same time, jamaa huyo huyo ana boyfriend (means he is a gay) na analiwa vile vile.

Sasa nashindwa kuelewa, mtu kama ni gay anawezaje kuhimili tena mikiki mikiki ya upande wa mwanamke?

Naomba michango yenu tafadhalini.

I stand to be corrected.
 
Inafanana na ile simulizi ya kule inaitwa mwana mji


Sjui kwa kweli hata mie nimeshangaa
 
Mmmm, yani umepoteza mda wako kuyachunguza yasiio kuhusu Mpaka ukayajua sasa yanakuumiza kichwa mwenyewe...
 
mmh hata mm kuna mtu nlishawahi kumuhisi ni gay ila ana girlfriend sa sijui hapo inakuwaje
 
Google ipo kimyaaaw
 

Attachments

  • 1417811952430.jpg
    1417811952430.jpg
    31.8 KB · Views: 428

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom