Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 405
Aisee nimeshangazwa sana na hili.
Inawezekana vipi?
Yani kuna jamaa hapa ana girlfriend wake na anakula mzigo kama kawaida.
At the same time, jamaa huyo huyo ana boyfriend (means he is a gay) na analiwa vile vile.
Sasa nashindwa kuelewa, mtu kama ni gay anawezaje kuhimili tena mikiki mikiki ya upande wa mwanamke?
Naomba michango yenu tafadhalini.
I stand to be corrected.