Is this normal kweli?

chopeko

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
1,528
1,107
Habari Wana JF!
Kuna kitu nimewahi ki experience nikiwa sekondari na chuo.
Kuna jamaa mmoja alivyokuwa anapiga paper kama ikitokea hajamaliza afu msimamizi akasema "time is over"... jamaa anamwaga wazungu!!!! Sasa ckuwahi kujua sababu ya kumwaga wazungu katika mazingira ya mtihani ni nini!
Mwenye maelezo ya hilo jambo anaweza nisaidia!
 
Huyo jamaa ndo wewe...
 
Skrubu zake zitakuwa zimelegea kiasi mtetemeko kidogo tu wa mwili ndio zachoropoka kabisaaaa.
 
khee!sasa time is over anapata mabadilikko ya kikemilkali!
akiwa maabara je?si ndo paractiko haifanyiki kabisa!
maskini sijui alikuwa anajisikiaje?
mh!
 
nahisi nakujua wewe chopeko in real life, nimegundua mwandiko wako.... hata hii stori nahisi naijua heheheee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom