Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Hii fasheni vip ikija Tanzania?
kesho tu asubuhi itakuwa imeshifika bongo na dada zetu kwa kuiga basi wala hawatajiuliza kitu wataivaa tu watakuwa wanaenda nayo hata sehemu za ibada
Hasara tupu!!!
Taahira huyo....
siyo taahira bali ndio fasheni za dada zetu wa siku hizi
Money Stunna mtu mwenye akili zake timamu havai hivo hata siku moja....
siyo taahira bali ndio fasheni za dada zetu wa siku hizi
Money Stunna mtu mwenye akili zake timamu havai hivo hata siku moja....
mbona wengi wenye akili timamu tunawaona wanavaa hivo ata mbaya zaidi ya hivo
sasa jibu langu mpenzihasara tupu!!!
Taahira huyo....