Is this a cyber-attack?

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
811
624
Leo nimezunguka ATM zote za mjini Arusha na card yangu ya crdb lakini nimeshindwa kutoa fedha.machine ziko connected lakini ukikamilisha process ya withdraw unaambiwa "huwezi kuwasiliana na bank yako" hii imetokea hata pale nilipoamua kutumia kadi yangu ya crdb kwa ATM za bank nyingine.inaonekana kama kuna kirusi vile kimeingilia system ya CRDB.najiuliza isije ikawa ni moja ya uharamia wa kimtandao 'cyber attack'
kwa wataalamu wa mambo haya mnaweza kutuelezea kidogo!
Nawasilisha...
 
Ungewasiliana na wahusika wa bank mara moja uwaulize...labda kuna tatizo!
 
Ungewasiliana na wahusika wa bank mara moja uwaulize...labda kuna tatizo!
tumepiga simu kuanzia saa 9 mchana,response ilikuwa we are still work on it,ilipofika saa moja usiku one of the staff akatoka akiwa na huzuni akituambia there is a big problem and it will take more than 2hours to settle.
 
Back
Top Bottom