Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 7,858
- 66,826
licha ya hayo yote mkuu mim naona bado nchi zetu miundombinu ya kufanikiwa ni migumu sana kuliko wenzetu angalia tu hata kodi wanavyotoza kubwa haiendani na bishara ya mtu anayofanya bado na gharama nyingine za maisha ataweza kweli kupambania biashara yake hapohapo bado tena uhudumie watoto shule unadhani usipojiongeza hata biashara za gizani utafanikishaje? lakini watu wengi waliokuwa nje hawawezi ona sababu waviwakuti moja kwa mojaUvivu upo Mkuu lakini kinachowakimbiza watu ni wivu, wizi, uchawi na fitna za nyumbani. Hizo tabia hazijaletwa na Magufuli bali wananchi wenzetu ndiyo maana nasema tamaduni na tabia za kitanzania zinachochea umaskini kuliko maendeleo.