is there a way to receive money via paypal in tanzania?

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,915
709
I would like to know if there is a way to receive money via paypal in tanzania and which banks offers such a service
 
Hebu peleka thread hii kwenye category ya Technology nadhani utapata msaada pale
 
unaweza kutuma tu. ila huwezi pokea hela. na kama ukinunua kitu online kupita paypal halfu ukagairi paypal watakurudishia hela lla hutazikuta kwenye account yako.
 
Tanzania mpaka sasa unaweza kutuma peke yake huwezi kupokea..... kuna watu walikuwa wanatumia njia za kufungua account nchi nyingine ili ionekane kana kwamba kwamba wanatokea huko na kutomia proxy servers ili IP address yao ionekane kwamba hawapo kwenye nchi hiyo hata hivyo paypal waliziba hiyo loophole...... I had my paypal account nilivyokuwa UK nilivyokuja Bongo kuifungua hapa account ikafungwa sababu ilionyesha kuna some illegality. Option ni kutumia other options kama moneybookers au alertpay
 
Back
Top Bottom