chagonjam
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 354
- 418
Mkuu mbona unaongelea mambo ya kufikirika? Jeshi wakati wa Amani hutumika kujenga nchi shida iko wapi? Wewe kwa maoni yako ulitaka kazi ya kukusanya korosho akaifanye nani? Huko Arusha umeambiwa Wanajeshi walitumika kulinda usalama katika operesheni maalum kwa sababu Polisi walikuwa na majukumu mengine. Nani amekuambia kuwa wao ndiyo wanasimamia sekta ya fedha? Acha ukauzu.Tumeona, JWTZ wameanza kuhodhi Korosho na sasa kusimamia Maduka ya kubadilishia Fedha (Bureau De Change). Je, kipi kitafuata?