Is Mufuruki suffering the colonial legacy or nobility syndrome?

Well said kabisa. I find no reason of not hiring a foreigner if you are sure with his/her performance. Watanzania wameichukulia hii issue as if Vodacom ni mali ya umma na wamejaribu kufanya kila figisu mdada wa watu asiweze kuja ila is not fair.
You have decided to attack mr. Mufuruki on purely political correctness and narrow "patriotic" sentiments, rather than business exigencies on which Ally's decisions ought to be based. It is also ironic that our local commercial banks have hired CEOs from Ghana, Netherlands etc and yet some people find it unacceptable to recruit a competent lady from a neighbouring country with which we share many binding political, social, legal and commercial protocals under the east african community treaty. You see we cannot have our cake and eat it. If have joined the eac we are bound by its treaties therein or else we should quit. In any case what harm would a lady from kenya pose as vodacom tz head bearing in mind the board and most of managemet are under competent tanzanians like Ally as correctly state? None in my opinion.
 
Well said kabisa. I find no reason of not hiring a foreigner if you are sure with his/her performance. Watanzania wameichukulia hii issue as if Vodacom ni mali ya umma na wamejaribu kufanya kila figisu mdada wa watu asiweze kuja ila is not fair.
sasa voda ni mali ya nani? hujui kuwa UMMA una share zake vodacom
 
Naomba tuipigilie hii....ila viongozi wetu wanadanganywa na kasumba ya kukaa darasani ndo kua kiongozi mzuri...poor us madarasa yanakosa maprofesa...mashirika yanazidi kufa
Katika maarifa huwa wanasema kuna wale wanaojua maarifa fulani na kuna wale wanaoujua kutumia maarifa waliyonayo. Kuwa na maarifa hakumaanishi kwamba unajua kuyatumia hayo maarifa. Kujua jinsi ya kuwamobilize watu wenye maarifa nayo ni moja ya sifa za kiongozi mzuri kwenye corporate world regardless ya background yake kielimu. Elimu inaweza kukufanya ukajua lakini ukashindwa kujua kutumia unachojua. Sifa moja kubwa ya kuwa change agent kwenye corporate world ni uwezo wa kujenga trust kwa wale wanakutazama na kuwafanya wawe inspired na mawazo bunifu unayoyaleta sababu wanaona kila unachosuggest kinaifanya kampuni izidi kunawiri. Trust haijengwi na elimu ya darasani bali yale ambayo tayari umeyafanya kwa nafasi uliyopewa (track record). Lazima uoneshe umahiri katika kidogo unachokisimamia ili uweze kuaminiwa kwa majukumu makubwa zaidi. Mfano, je ulivyokuwa head of Marketing or product development katika organization yako, kitengo ulichoongoza kilileta mambo gani mapya au yenye tija yaliyongeza ufanisi na pengine kuongeza mapato ya kampuni? Kwa hiyo kuwa na degree ya Telecomunication Engineering hakukufanyi wewe kuwa mtu sahihi kuongoza kampuni ya simu. Je una kiwango gani cha ubunifu? Je unapopaongoza pameonesha ubunifu wa kiwango gani. Ukitaka kufanikiwa kuwa kiongozi mzuri kwenye corporate world unahitaji asilimia 15-20 ya technical skills, asilimia zilizobaki ni soft skills. Soft skills zinajumlisha skills za ku handle watu. How do you inspire people working under you to bring the best out of themselves? Lazima uwe na hiyo track record na si vyeti va darasani. Business world inataka mtu very sharp na mwenye maono, anayeweza kuwahandle watu wake wakaleta best products kwenye market. Soft skills ni muhimu sana ndo maana college drop outs kama kina Zuck wamefanikiwa not because of their technical expertise but their ability to lead their companies to the right direction.
 
sasa voda ni mali ya nani? hujui kuwa UMMA una share zake vodacom
Kama unajua vizuri categories za ownership utakubaliana na mimi kuwa kuwa kuna umiliki binafsi ambao unajumuisha PLCs ambayo wewe unaiita UMMA, pia kuna umiliki wa UMMA haya ni mashirika kama Tanesco, idara za maji n.k, lakini pia kuna mashirika shirikishi yaani Public-private partnership(PPP). Ktk kila umiliki una sytle yake ya maamuzi. Don't consfuse UMMA and PLC
 
Na kwa kuongezea mwenyekiti wa bodi ya PLC amepewa majukumu na wanahisa kuhakikisha kampuni inakua na kupanua wigo wake wa mapato. Kwa hiyo maamuzi ya mwenyekiti ya bosi ya serve interest za wanahisa ambayo ni kuvuna gawiwo nono na hisa kuongezeka thamani.
 
  • Thanks
Reactions: cdc
Mkuu tukiacha mapungufu ya Johnny hivi kweli hakuna mtanzania anaweza kuimudu ile nafasi?

Hata diaspora hawapo wa kuja kuokoa jahazi?

Ukiangalia huyo Sylvia Mulinge alikuwa diaspora wakati anapewa nafasi Vodafone. Alitokea SA.
Akakuzwa zaidi na kufikia pale alipo.
Tunaweza lakini inabidi waje wakuzwe ndani ya Vodacom kama ni hivyo. Inaonekana wakuu wa vitengo ndani ya Vodacom hawajaonyesha ubunifu wowote mpaka anaanza kutafutwa outsider. Wamepewa nafasi wameshindwa kuonyesha. Sylivia alipewa nafasi na ameonyesha uwezo wake ndo maana Vodacom wanamtamani. Kwa hiyo hii ni kama challenge kwa wafanyakazi wa Vodacom kwamba wanahitaji kujituma zaidi ndani ya vitengo vyao na kuonyesha uwezo wa kipekee ili siku nyingine board isihangaike kutafuta mtu nje ya kampuni. Nikiuliza ubunifu gani Vodacom Tanzania wamefanya hivi karibuni, naweza kupata mtihani kidogo. Services walizo nazo ni hizo hizo za Data, Voice na MPESA. Je kuna product nyingine? Safaricom wamebuni more products.
 
Na kwa kuongezea mwenyekiti wa bodi ya PLC amepewa majukumu na wanahisa kuhakikisha kampuni inakua na kupanua wigo wake wa mapato. Kwa hiyo maamuzi ya mwenyekiti ya bosi ya serve interest za wanahisa ambayo ni kuvuna gawiwo nono na hisa kuongezeka thamani.
Safi.
Sasa masuala ya kuwapangia watu wafanye nini especially kwa position kama CEO sio issue.
 
That thieving CEO. He never had humble beginning and possibly, he is still part of that set of corrupted mind. Never listen to people who firstly met Lucifer, before realizing God's norms. He must have been promised something in acceptance of that lady as the Voda CEO. I suspect! Kwanza yeye mwenyewe atueleze alichokifanya CRDB hadi ikafa kabla haijafufuliwa na akina Kimei.

Kuna katabia ka hawa wafanyabiashara kujiona wako juu, Wakiandika hata vitabu na kusimulia historia za maisha hawasemi walivyoiba, hawasemi walivyouza madawa ya kulevya. Eti wamefanikiwa kwa bidii, yes, but through unethical pathway! Anataka nasi tupitie njia hiyo, au tumsaidie kufanikisha udhaifu huo? Noooo!

He blames Tanzania, he blames the system, he blames education system. Now, let us learn from this insensitive bussinesscreature. Where or which institution did that lady went before qualifying for the nomination?
ungeandika Kiswahili tu. English yako Ni very poor. So Latina itumike English. Hio lugha imekuja na meli. Ukiiendea Licha kichwa kabla hujajipanga itakuadhiri.
 
ungeandika Kiswahili tu. English yako Ni very poor. So Latina itumike English. Hio lugha imekuja na meli. Ukiiendea Licha kichwa kabla hujajipanga itakuadhiri.
Unawezaje kusahihisha kiingereza kwa kiswahili? Habari ya asubuhi! It is like dawn is transfixing you!
 
Hebu%20jaribu%20kueleza%20ujumbe%20una%C3%B2jitokeza%20kwenye%20mchoro%20huu%20wa%20katuni%20...jpeg
 
Well said kabisa. I find no reason of not hiring a foreigner if you are sure with his/her performance. Watanzania wameichukulia hii issue as if Vodacom ni mali ya umma na wamejaribu kufanya kila figisu mdada wa watu asiweze kuja ila is not fair.
Naona ulijitahidi kuwa mpole kwa huyo unayemwita 'dada wa watu'. Hilo tu ndo muhimu kwako? Hujui ajira ni siasa? Wewe unaweza kupewa ajira yoyote Kenya? Au unaamini hakuna anayefaa TZ? Tuache uzembe wa kufikiri. Hana lolote zaidi ya viatu vyenye visigino virefu!
 
Tunaweza lakini inabidi waje wakuzwe ndani ya Vodacom kama ni hivyo. Inaonekana wakuu wa vitengo ndani ya Vodacom hawajaonyesha ubunifu wowote mpaka anaanza kutafutwa outsider. Wamepewa nafasi wameshindwa kuonyesha. Sylivia alipewa nafasi na ameonyesha uwezo wake ndo maana Vodacom wanamtamani. Kwa hiyo hii ni kama challenge kwa wafanyakazi wa Vodacom kwamba wanahitaji kujituma zaidi ndani ya vitengo vyao na kuonyesha uwezo wa kipekee ili siku nyingine board isihangaike kutafuta mtu nje ya kampuni. Nikiuliza ubunifu gani Vodacom Tanzania wamefanya hivi karibuni, naweza kupata mtihani kidogo. Services walizo nazo ni hizo hizo za Data, Voice na MPESA. Je kuna product nyingine? Safaricom wamebuni more products.
Kuna watu tukisoma mawazo yenu ukilinganisha na Dunia hii ilivyo, natamani mugenyimwa vichwa. Hivi nawe una matumizi na kichwa chako kweli? Huyo Silvia amejaribiwa wapi? Wapi amewahi kuwa CEO? Au ilikuwa aje kujaribiwa hapa? Akwende zake huko Safaricom wakamjaribie. Huyo Mfuruki wenu naye akwende zake hatutaki watu wanaopinda pinda midomo na mvi kichwani na kutuingiza kwenye wizi wao.
 
Kame deliver wapii! Unaweza kudeliver kwa theory! We vipi? Kamtu kanaletwa kufanya sabotage we unasema delivery! Mawazo kama haya ndo yanamfanya huyu mzembe adhalau elimu yetu nini?
Mind you Sylvia was the head of Retail Business in Safaricom, her section contributes a big chunk of Profit in Safaricom
Dont forget Safaricom's profit is higher than 10 most profitable businesses altogether in Tanzania, I think those were the traits that made the idea of hiring her saleable. Do we have Tanzanians who possesses those traits ??
 
Well said kabisa. I find no reason of not hiring a foreigner if you are sure with his/her performance. Watanzania wameichukulia hii issue as if Vodacom ni mali ya umma na wamejaribu kufanya kila figisu mdada wa watu asiweze kuja ila is not fair.

Kuna siku mtu alitoa "ushauri" kuwa serikali iingilie kati hata private sector ili wasio na vyeti na/au wenye vyeti fake nao wafukuzwe ili waajiriwe Watanzania wenye vyeti!
 
Mufuruki mwenyewe kajiaibisha kumpigia debe Magufuli, halafu Magufuli akamuumbua kwa kuja na anti business approach iliyomkatisha tamaa mpaka Mufuruki mwenyee, akawa analalamika.

Hivyo, mtu anaweza kusema hata hao wanaolalamika Tanzania hakuna watu wenye uwezo wa kuongoza makampuni makubwa wenyewe, kama kina Mufuruki, uwezo wao wa kuona mambo yanayokuja mbele, kama vile kujua kwamba Magufuli ni anti business, ni mdogo.

Yani mpaka Mufuruki naye tunamMufuruki vile vile alivyowa Mufuruki wengine.

Mind you Sylvia was the head of Retail Business in Safaricom, her section contributes a big chunk of Profit in Safaricom
Dont forget Safaricom's profit is higher than 10 most profitable businesses altogether in Tanzania, I think those were the traits that made the idea of hiring her saleable. Do we have Tanzanians who possesses those traits ??
So, you reacted to this once upon a time thrd. My position is till valid. So, she was the head of retail bussiness. You mean retail, now she wanted to be the CEO. Again, NO! Any country would say no to any high-grade human as long as that particular country sees no benefits of having such a person. I say benefit NOT profit.

Sorry to you for seeing huge Safaricom's profit tied to the lady's efforts. Did you hope that Similar will happen to Vodacom when she joins the company? A country looks far beyond financial uplifts.
 
anakwambia haoni shule inayotengeneza ma managers tanzania? anaona phds nyingi ambazo hajui zinafanya nini
Kuna mtu kaurudisha uzi huu na nikakuona. Muulizeni mfuruki alisomea wapi umeneja wake wa kuiibia CRDB. Ni mmoja katika wale tunaowajua kupitia I can, I must, ...... bila kujua undani wao ambao hawataki kuusema.
 
So, you reacted to this once upon a time thrd. My position is till valid. So, she was the head of retail bussiness. You mean retail, now she wanted to be the CEO. Again, NO! Any country would say no to any high-grade human as long as that particular country sees no benefits of having such a person. I say benefit NOT profit.

Sorry to you for seeing huge Safaricom's profit tied to the lady's efforts. Did you hope that Similar will happen to Vodacom when she joins the company? A country looks far beyond financial uplifts.
Those Macroeconomics trends are beyond her hands
 
Back
Top Bottom