Is JK a leader or a ruler? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is JK a leader or a ruler?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Jan 4, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  jk alitumia tuu umafia kuwatawala waTZ au ana sifa za uongozi? Mbona hana umakini ktk mambo mengi?je yupo kwa ajili ya wa tz wote au kwa maslahi ya mafisadi?je ana huruma kweli na maskini?mbona familia yake ndo wameona ni njia ya kujitajirisha?mbona hana huruma na raslimali za wa tz?mbona amekaa kisani sani tuu nchi hata haileweki inaelekea wapi?
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Everybody knows that jk is a ruler.
   
 3. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  To me JK is more than a ruler... He is a dictator!!!
   
 4. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Huyu bwana hana sifa kabisa za kuwa kiongozi,ni mwoga,msaliti,mvivu wa kutenda na kushughulisha ubongo(hajui kwanini tz ni maskini,anaendekeza tabia ya kuombaomba),mpenda starehe na starehe,mpenda sifa(tena za kijinga),fisadi na ana tabia ya kunyanyapaa wananchi wake(rejea kauli zake juu ya waviu na wanafunzi wa kike wanaopata mimba).pia ameingia madarakani kwa nguvu ya dola....mnaweza kuögezea nyingi
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  ni msanii tu
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  JK.... cash heist
   
 7. m

  msitaki Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  jk is abig loser,less visionary and unpatriotic..!!!!!!!!!!!!!!:embarrassed:
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  Tyrant
   
 9. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  NEITHER. He's a JOKE.
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mashule ni Mengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

  Zahanati ni nyingi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

  Udahili wa vyuo vikuu ni mwingi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

  Maji masafi kwa wananchi ni mengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

  Waalimu ni wengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

  Uchumi wa leo Tanzani ni mkuu zaidi ya wakati wowote ule.

  Ukusanyaji wa kodi ni Mkuu leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

  Barabara kuu za lami na Miradi mipya ya barabara leo ni Mingi kuliko wakati wowote ule.

  Utulivu wa kisiasa Zanzibar leo ni mkubwa kuliko wakati wowote ule.

  Uwekezaji kutoka nje leo Tanzania ni Mkubwa kuliko wakati wowote ule.

  Biashara Tanzania leo ni kubwa kuliko wakati wowote ule.

  Mawasiliano Tanzania leo ni mengi na rahisi kuliko wakati wowote ule.

  Mabenki Tanzania leo ni Mengi na watumiaji ni wengi kuliko wakati wowote ule.

  Magari Tanzania, yawe ya biashara au ya binafsi leo ni mengi Tanzania kuliko wakati wowote ule.

  Magonjwa ya moyo lao Tanzania yanatibiwa humu ndani kwa wingi kuliko wakati wowote ule.

  Demokrasi Tanzania leo imeshamiri kuliko wakati wowote ule.

  Wageni wa Kitaifa maarufu leo ni wengi Tanzania kuliko wakati wowote ule.

  Na hayo yote within 5 Years. What did Nyerere do for 24 Years?

  Niendelee?
   
 11. n

  ngoko JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umesahau kuongezea yafuatayo
  Umeme Mwingi Tanzania kuliko wakati wowote ule
  Dowan's Nyingi Tanzania kuliko wakati wowote ule
  Mahesabu ya kujumlisha kura yameimarika Tanzania kuliko wakati wowote ule
  Madawa kwenye zahanati ni haba Tanzania kuliko wakati wowote ule
  Walimu kwenye Mashule, vyuo ni haba Tanzania kuliko wakati wowote ule
  Quality ya elimu ni low Tanzania kuliko wakati wowote ule

  na mengine mengi uliyosahau mkuu
   
 12. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,088
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  mungu akulaani we daresalam na wenzako wote waliopo huko ikulu, hayo yote ulioorodhesha ni upuuzi mtupu kama mtanzania wa kawaida hawezi kupata mahitaji ya lazima, huo ni unafiki wenu kupoteza ukweli ya ufisadi na wizi wa rasilimali zetu ni kubwa kuliko wakati wowote ule. We daresalaam acha ushenzi na unafiki pamoja na ushabiki wa kipumbavu utafikiri hujasoma? Hapo ulipo ukweli unaujua ndani ya moyo wako kua kikwete alichakachua na pia ni fisadi,mshenzi, mpenda anasa hasa wanawake, upeo mdogo wa kufikiria na mtu wa kukurupuka.
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Pumba hizo!
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Punguza jazba, naona ushaanza uzabizabina kufuata nyayo za Katibu Mkuu wako. Duhh, ama kweli.

  Nikikuuliza mwenye kesi ya kupora mke wa mtu ni nani? Utajibu nini?
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  The "loser" who was chosen by majority with a big margin! HahahaAaaaaaa.

  Duhhh, yaani hatumuoni loser anavyokurupuka na kusema hovyo kila siku ya Mungu. Karibuni atakuwa katuni kama Mzee wa Kibandiko.
   
 16. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,791
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Dar Es salaam Ongeza:

  Trip za Mkwere kimataifa zisizo na tija ni nyingi mno kuliko wakati

  Biashara ya wauza vyuma chakuvu ajira nyingi mno kuliko wakati wowote

  Upendeleo wa wazi kwa Bagamoyo na Pwani kwa ujumla ni mkubwa mno kuliko wakati wowote

  Mfumuko wa Bei ni mkubwa mno kuliko utawala wowote

  Maisha ya watanzania ni magumu mno kuliko wakati wowote

  Ahadi hewa zilizotolewa na mkwere ni nyingi mno kuliko wakati wowote

  Kesi ilizoshindwa serikali ni nyingi mno kuliko wakati wowote

  Ubabaishaji kura za maoni umekuwa mkubwa mno kuliko awamu yoyote

  Siasa kuwa ishu ya familia fulani fulani ni kubwa mno kuliko wakati mwingine

  Ujenzi wa Barabara mbugani Kilimanjaro/Serengeti umekujaa juu mno kuliko wakati wowote

  Uteuzi wa kinadada nyadhfa mbalimbali umekuwa juu mno kuliko wakati mwingine
  :ranger:
   
 17. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jambazi la Kisiasa!
   
 18. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Actually Hakuna kiongozi Mwenye Sifa za JK africa masharaki na KATI!.. huoni juhudi zake kwasababu umefumba macho hutaki kuziona!
   
 19. n

  ngoko JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukweli ndio huo. orodha yako yote ni upupu
   
 20. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,549
  Likes Received: 4,675
  Trophy Points: 280
  Dar es Salaam kumbe ni wewe Salva Rweyimamu, bingwa sana wa lugha za mitaani na mipasho wewe.
   
Loading...