Uchaguzi 2020 Is January Makamba Tanzania's next president?

Awali ya yote, CCM wameacha lini kale ka mila ka kuachia amalizie muda wake? Oh! Ndo tatizo la kuandika Vizungu haya... hadi tupekue madikshinari... kumbe hata upinzani!!!! Kabisa kabisa unaamini January anatosha kwa chama kama CHADEMA? Hivi January huyu ana ubavu hata wa kumshinda Sugu kule Mbeya? No... unfair comparison!! Tumchomoe Zitto kule Kigoma na January kule Lushoto halafu tuwapeleke Kinondoni au Temeke au Ilala wakagombee Ubunge! Hivi January anaweza kutoka mbele ya Zitto?
 
Naona mnamtafutia ubaya January wa watu, maskini kawa mpole kawekwa sehemu kama hayupo. Kwa ufupi safari yake ya Urais imekwisha kabisaaa. Unachofanya hapa ni kupiga ramli ikitokea reshuffle akose kabisa kwenye Baraza lenyewe

Na hiyo 2020 hakuna atakayeshindana JPM ndani ya Chama, labda tu aamue mwenyewe, kitu ambacho kitakuwa cha kipekee nje ya hapo hakuna, atatumikia miaka yake 10
 
Awali ya yote, CCM wameacha lini kale ka mila ka kuachia amalizie muda wake? Oh! Ndo tatizo la kuandika Vizungu haya... hadi tupekue madikshinari... kumbe hata upinzani!!!! Kabisa kabisa unaamini January anatosha kwa chama kama CHADEMA? Hivi January huyu ana ubavu hata wa kumshinda Sugu kule Mbeya? No... unfair comparison!! Tumchomoe Zitto kule Kigoma na January kule Lushoto halafu tuwapeleke Kinondoni au Temeke au Ilala wakagombee Ubunge! Hivi January anaweza kutoka mbele ya Zitto?
Zitto huwezi mfananisha na Makamba hats chembe.

Zitto amejaliwa kwenye mdomo ila kwenye mikakati he is nothing.
 
Awali ya yote, CCM wameacha lini kale ka mila ka kuachia amalizie muda wake? Oh! Ndo tatizo la kuandika Vizungu haya... hadi tupekue madikshinari... kumbe hata upinzani!!!! Kabisa kabisa unaamini January anatosha kwa chama kama CHADEMA? Hivi January huyu ana ubavu hata wa kumshinda Sugu kule Mbeya? No... unfair comparison!! Tumchomoe Zitto kule Kigoma na January kule Lushoto halafu tuwapeleke Kinondoni au Temeke au Ilala wakagombee Ubunge! Hivi January anaweza kutoka mbele ya Zitto?
hata Bwana Magu hawezi kumtoa ZZK atashindwa tu
 
Sasa pamoja na kwamba wewe ni mchochezi ila umeandika kiingereza gani hiki?
 
Awali ya yote, CCM wameacha lini kale ka mila ka kuachia amalizie muda wake? Oh! Ndo tatizo la kuandika Vizungu haya... hadi tupekue madikshinari... kumbe hata upinzani!!!! Kabisa kabisa unaamini January anatosha kwa chama kama CHADEMA? Hivi January huyu ana ubavu hata wa kumshinda Sugu kule Mbeya? No... unfair comparison!! Tumchomoe Zitto kule Kigoma na January kule Lushoto halafu tuwapeleke Kinondoni au Temeke au Ilala wakagombee Ubunge! Hivi January anaweza kutoka mbele ya Zitto?
Kale ka mila kananoga shibe ikiwa imetamalaki, si katika usawa huu ambao waliozoea kutoa kontena mia bila kuzilipia anabanwa kulipia ushuru wa hata kakontena kamoja!
 
mhn!
sijui sana na mimi sio mwanasiasa ila ninachoweza kusema na kinachonekana kinaweza kutokea ni kwamba jamaa aliepo sasa hajali kupata au kukosa urais kwenye awamu ijayo yote hayampi hofu japo angependa aendelee ili ayasimamie yale ambayo anayaamini yanaweza kuwasaidia watanzania. hivyo sitegemei jamaa anaweza kun'gangania sana tabu wapambe.
kama ilivyokuwa wakati wa kikwete awamu ya pili hakuitaka sana na alishakubali kwa lolote hivyo kwa huyu naye naliona hilo.
kinachoweza kutokea na hiki ni dhahili jamaa akiacha urais atawapa wanzanzibar na hiki wanakijua na ukiangalia vizuri keshaanza kumtengeneza rais ajaye na makamu wa rais ajaye.
january angeweza kupata na anafikiriwa kupata lakini si kwa kipindi hiki labda kwa 2030 na sivinginevyo.
kwahiyo huyo mtu awezi kupata na akigombea kwa upinzani watakachokifanya ni kumtumia ili kukijenga chama na si vinginevyo.
ufanyaji wake wa kazi kwanza si mzuri kivile anabebwa kifamilia zaidi katika serikali lakini kingine anaonekana ameathilika na laini ya upigaji ifike wakati tuwe wakweli bwana aha!
 
Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
Ndoto nyingine hii
 
Back
Top Bottom