Uchaguzi 2020 Is January Makamba Tanzania's next president?

Raisi wa chaputa kajiuzulu Kwani ? Na huko chaputa kwenyewe ajipange kuna majamaa wamebobea wao wanapiga na inzi sijui atawafunika vipi ila The President of the United Republic of Tanzania ..no waaaaaaay
 
Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.

This is a very serious joke of the day!
Hivi unajua wale wote waliokuwa Wanagombea kinyang'anyiro cha Urahisi through CCM Bwana Magufuli hataki hata kuwaona! Where is Migiro, where is Amina Salumu, where is Januari Makamba and whete is Prof. Mwandosya?
Not only that but, bado kuna wale Wajumbe wa Mkutano Mkuu walio kuwa wakiimba, " TUNA IMANI NA LOWASSA!" Magufuli hawataki kuwaona karibu yake. Nchimbi tayari ametupwa kwenye Ubalozi nje ya nchi na wengine watafuata!
 
Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
theoretical joke!!!
 
Ana uwezo mkubwa huyu jamaa hata kuongea kwa kiingereza anafahamu.
 
Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
2020 haiwezekani, wekeni tageti ya uchaguzi angalau wa 2025, 2020 JPM ni landslide victory.
 
mh hakuna atakaetaka agombee nae kwani wataogopa kutumbuliwa pindi akipata muendelezo wa urais,next presdent of tanzania is kassim majaliwa at 2025
 
..january anaweza asiwe as talented as Zitto.

..lakini kitakachomsaidia January ni nguvu ya pesa na rasilimali iliyonayo ccm.

..nguvu hiyo ndiyo huwafunika wagombea wa upinzani kiasi cha kuonekana kama pretenders tu.

..kingine ni rafu za waziwazi ambazo atakuwa anachezewa. Kwa mfano unaweza kukuta vyombo vya habari havitoi coverage sawa kwa kampeni zote.
Hahaa... usemayo ni kweli hususani suala la raslimali! Lakini ni leo tu hapa asubuhi nimezungumzia kati ya nguvu ya ushawishi/uhalisia na nguvu ya ujanja ujanja... yaani artificial power! Pale ambapo ushawishi na nguvu za asili zinafanana fanana kati ya mahasimu wawili; nguvu ya ujanja ujanja ina nafasi kubwa ya kugeuza matokeo-- mshindi akatangazwa ameshindwa na aliyeshindwa akatangazwa mshindi!

Lakini pale ambapo casted votes ni 100K, mwenzako amekomba 70K na wewe umeambulia 30K... ujanja ujanja hapo hauwezi kufua dafu manake hata kama wataamua kuiba kura... wataiba weeeeeee lakini bado hazitatosha!

Na ni kutokana na ukweli huo ndio maana CCM hawana namna zaidi ya kuiangalia Arusha kwa jicho la matamanio! Sijui ni kwanini, lakini naamini endapo barter trade ya majimbo ingekuwepo, naamini CCM ingekuwa tayari kubadilishana na CHADEMA hata majimbo 3 ya kawaida kwa ajili ya Arusha Mjini moja....!!!!

Naamini CCM wanatamani sana kuvunja mwiko wa Pemba ambayo tangia mfumo wa vyama vingi uanze; hawajawahi kusimama na CUF na wakaambua jimbo kule! Na ma-resources yao yooooooote; CCM hawajawah kupata hata Diwani kutoka Pemba!

Na ninavyowapenda Wapemba ni pamoja tu... CCM hata wakisimamisha mgombea Urais kutoka Pemba na CUF wasimamishe jiwe; kwao ni bora walipigi jiwe kuliko kumpa Mpemba wa CCM... spirit ambayo haipo kabisa huku Bara!!!
 
Ninguma cn January makamba kuwa rais 2020 ila 2025 mungu akijalia next prizident majaliwa kwn vitu hatakavyo viacha huyu jamaa hakuchukua mtu ambaye ni lezness hitamgalimu cn kuiludisha nchi kama ilivyokuwa pia tatzo viongoz wetu wanawekwa na wa kwa kutetea mambo yao yakae vzr
 
chige,

..asante kwa bandiko lako hapo juu.

..nadhani wapinzani wanatakiwa waungane.

..pia they should not loose the gains they have already made.

..wawe na amani na continuity ndani ya vyama vyao. Pia wasipoteze wabunge au kura walizopata.

..waelekeze nguvu na resorces nyingi zaidi ktk viti vya ubunge na madiwani.

..halafu wawe na mgombea mzuri( effective arator/ campaigner) ktk nafasi ya Uraisi.

..tofauti ya kura za Magufuli na Lowassa ni kura milioni 2. Sasa Lowassa was very ineffective ktk kupiga kampeni. Yaani sijui hata alipatwa na nini. Ukawa wangekuwa na mgombea dynamic zaidi nadhani tofauti ya kura ingekuwa ndogo.

..kwa maoni yangu wanahitaji mgombea mzuri ambaye ccm watashindwa kupambana naye pamoja na kwamba wana mapesa rasilimali na dola.
 
uchaguzi mkuu bado miaka mitatu kama hakutatokea tatizo la kumlazimisha rais akatishe muda wake hapo nazungumzia ugonjwa au kifo. Inaelekea safari hii pesa za wapiga debe zimeisha mapema ndio maana wameanza kuzitafuta kwa kutumia gia ya kuwapamba watu wao, kwani kuna watu wengi wanaoishi kwa majungu na upaambe kama wewe.
 
Day dream, it's better too be ruled by His Excellency JPM than a highly hypocritic person who always pose, acts like Obama and sounds like Tony Blair...... He don't qualify for the post.
 
Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
Does he have qualities as a Presidential material?/ Je ana SIFA za kuwa mgombeaji?
Personally I see a young Minister who has nothing TANGIBLE to show since taking over the Enviroment and .......docket.
Naona Waziri kijana asiye na kitu cha kutuonyesha tangu aingie ama apewe wizara ya Mazingira na.......Sembuse na URAIS!
Thanks for testing waters.
It remains just a pipe dream/ ndoto ya mchana!
 
Kumbe babu marope alimaanisha kuwa Yohana ni one term prezidaa!!!! Nafikiri wahusika wameshamsoma
Msipotoshe..mzee makamba wakati wa kampeni pale morogoro alisema yeye ndio yohana mbatizaji isionekana anapoteza muda ila anamsafishia njia jpm kuja kuongea kufanya kampeni.
 
Yes.
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race or through Opposition party.
Umelewa ugimbi wa wapi wewe?
 
Back
Top Bottom