Is it true...

4X4byfar

JF-Expert Member
Oct 29, 2008
201
17
Hivi jamani wana wenzangu Jf...kwanza hamjamboni na poleni na shughuli. Ningependa kujua mtu anaweza ku access e-mail ya mwengine bila kujua password yake. Na je program hio inaitwaje, na je, utawezaje kujua kama mtu alikuwa ana access your mails. Maana yamemkuta jamaa mmoja wife alikuwa anafanya hayo mambo na akamuumbua na yote aliyokuwa akiyafanya humo ndani ya email. Ningependa kujuzwa katika hili wapendwa. Asanteni.
 
itakua alimuibia password yake,au km jamaa kuna siku alisoma mail zake akasahau kulog out imekula kwake,vinginevyo kuna mtaalamu hapa alikuja akasema kama mtu anataka kumfuatilia mtu wake kama anacheat kwenye mail au simu amuone,inawezekana mke wa jamaa yako mwanachama hapa na aliona tangazo akafatilia.
 
Kwa vyovyote vile alimuibia password au alitumia ile njia ya internet hurkers akatuma password bila kujua!
 
itakua alimuibia password yake,au km jamaa kuna siku alisoma mail zake akasahau kulog out imekula kwake,vinginevyo kuna mtaalamu hapa alikuja akasema kama mtu anataka kumfuatilia mtu wake kama anacheat kwenye mail au simu amuone,inawezekana mke wa jamaa yako mwanachama hapa na aliona tangazo akafatilia.

Hili ndilo mara nyingi hutokea na hatimaye kuweza kusoma emails za mwenzie.
 
itakua alimuibia password yake,au km jamaa kuna siku alisoma mail zake akasahau kulog out imekula kwake,vinginevyo kuna mtaalamu hapa alikuja akasema kama mtu anataka kumfuatilia mtu wake kama anacheat kwenye mail au simu amuone,inawezekana mke wa jamaa yako mwanachama hapa na aliona tangazo akafatilia.

.........Huyo atakuwa alisahau kulog out, mie mwenyewe my hubby mara nyingi anasahau kulog out, huwa nachungulia email zake.........bahati yake huwa sikuti email za ajabu ajabu.
 
ha ha ha pretty unatafuta ugonjwa wa moyo bila sababu.next time msaidie ku-logout.

kweli lakini wengi usahau kulog out rafiki yangu juzi juzi tu katoka kukamatwa na mke wake na alisomewa kila kitu ,tatizo ni kasahau ku-logout.
 
.........Huyo atakuwa alisahau kulog out, mie mwenyewe my hubby mara nyingi anasahau kulog out, huwa nachungulia email zake.........bahati yake huwa sikuti email za ajabu ajabu.

mmh...unayatafuta kabisaaaa...kisa na maana kumwingilia kwenye email zake bila ruhusa yake? lol
 
.........Huyo atakuwa alisahau kulog out, mie mwenyewe my hubby mara nyingi anasahau kulog out, huwa nachungulia email zake.........bahati yake huwa sikuti email za ajabu ajabu.

Kwa mfano ungezikuta za ajabu ungefanya nini?
 
LOLZ! Nimekoma kuchanganya valuu na bia. Ngoja nikazimue mitaa ya Shimo La Udongo.

tatizo lako hommie ushauri wa wadau unauweka kapuni...raha ya mnywaji ni kwamba hasikilizi ushauri wa mtu aliye sober hata siku moja....lazima amsikilize mnywaji mwenzie hahahahaah...do ze nidiful
 
Hahahaha! Hommie! You are always sober! Sasa ntakuwa nausikiliza ushauri wako sober boy............... Ndovu bana! LOLZ!
 
Hahahaha! Hommie! You are always sober! Sasa ntakuwa nausikiliza ushauri wako sober boy...............Ndovu bana! LOLZ!

hahaha habari ndo iyo. zey do ze nidiful sio nchezo! tatzo supu za shimo la udongo huko.....:D
 
Hehehe! Zile unameza kwanza flagyl ndo una do the needful! Adhawaiz unaripoti frikwently kwa msala kuachia vimiminika kwa mlango wa nyuma. LOLZ!
 
Asanteni sana kwa majibu yenu ingawaje some wanaonekana wako nje ya mada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom