#COVID19 Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

Shida yetu waafrika kusoma hatutaki, tunataka kucheza ngoma na kutunzwa tu.

Kama mna wasiwasi na hili jambo, mlishandwae kuwa na wataalamu wa kuthibitisha kama hii chanjo ni sawa au ni mkakati? Maneno meeeengi mwisho wa siku mnawategemea hao hao wenye "mikakati" kwa kila kitu.

Una ujinga mwingi sana, ufiche mbali huenda utakufaa huko mbeleni.

Kwani hao wataalamu utawateua wewe?
 
Mzungu huwa anadharau mwafrika saana na kuona ni watu ambao hawana ubongo wa kutosha au kama ubongo upo utakuwa contaminated na material mengine. Hii imekuwa fursa kwa baadhi ya waafrika wajanja kuwapiga kwelikweli.
 
Una ujinga mwingi sana, ufiche mbali huenda utakufaa huko mbeleni.

Kwani hao wataalamu utawateua wewe?
umeandika kiujinga ukweli. Wewe hutokufa uko mbeleni sio?

Wateue wewe hao wataalamu ili wakuthibitishia kama chanjo ilioletwa ni sawa na ya wanayotumia
 
umeandika kiujinga ukweli. Wewe hutokufa uko mbeleni sio?

Wateue wewe hao wataalamu ili wakuthibitishia kama chanjo ilioletwa ni sawa na ya wanayotumia

Ni wapi nimeandika kuhusu kufa? Ukiambiwa we mjinga uwe unashukuru tu!

Wenye uwezo wa kuteua hao unaowaita wataalamu ni hao hao wenye mamlaka, unafikiri wataenenda kinyume na maelekezo yao!

Kovidi sio ya kwetu, viongozi wenu wametamanishwa kwa ahadi za mikopo ili wawachuuze huko…. usiku utapokwisha.
 
Yaani wewe unaamini hao vichaa? Inaonesha jinsi gani bongo yako ni primitive. Ndiyo maana nikakuambia unasikiliza habari za vijiweni, vijiwe siyo tu huko Namtumbo ulipo, hata hao ambao unawahusudu kwa kiingereza chao kwao kuna vijiwe.
Yaani huyo Jmc06 kwa kuweka tu hiyo link amedhihirisha hawezi kuwa daktari kama anavyotaka kuaminisha umma.
Daktari hawezi kuwa na uelewa mdogo hivi. Yaabi Daktari hajui kuwa hata kwenye dunia ya kwanza kuna watu wajanja wajanja, kama tu tulivyo na akina "mwanaharakati huru":D :D
 
Mkuu narudia tena kwa kusisitiza Kama hujachanjwa achana na hizo chanjo hiyo process ni irreversible, huwezi kurekebisha makosa yako. Miaka 2 kuanzia Sasa kutakuwa na magonjwa kibao kutokana na hizo chanjo na tayari pharmaceutical companies zipo hewani zinatengeneza dawa kuwauzia waathirika. Kuna madaktari kibao mabingwa wazungu tena wengine toka US wameelezea vizuri athari za hizi chanjo,Ila sababu mmeamua kufumba macho na masikio sina namna ya kuwaelewesha zaidi.
 
Bado hakuna clear picture ya hilo tukio kuthibitisha kama kweli hakuna mwili humo ndani...
 
Una ujinga mwingi sana, ufiche mbali huenda utakufaa huko mbeleni.
Jibu lako ulipouliza kuhusu wapi umeenda kuhusu kufa.... So unaweza kujiona ulivo mjinga kuwa hata ulichokiandika hukijui.

Wenye uwezo wa kuteua hao unaowaita wataalamu ni hao hao wenye mamlaka, unafikiri wataenenda kinyume na maelekezo yao!
Kama huwaamini watakaoteuliwa, kwanini wewe usiteue independent scientist wakathibitisha uharo wako?

Kovidi sio ya kwetu, viongozi wenu wametamanishwa kwa ahadi za mikopo ili wawachuuze huko…. usiku utapokwisha.
Na watu wanakufa kwa covid
 
Jibu lako ulipouliza kuhusu wapi umeenda kuhusu kufa.... So unaweza kujiona ulivo mjinga kuwa hata ulichokiandika hukijui

Niliandika hivi, ujinga wako ufiche huenda utakufaa huko mbeleni.

Ni utakufaa, sio utakufa…. japo nyie mademu huwa mna matatizo ya uandishi.

Kufa kila mmoja atakufa, lakini sio nilichoandika hapo.

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Yeah sikuona hio extra "a" ungeonesha mapema lakini ndio tabia za mademu badala kuonesha error ilipo wao watakusuta :D

Mengine mbona umeacha ku quote?
 
Yeah sikuona hio extra "a" ungeonesha mapema lakini ndio tabia za mademu badala kuonesha error ilipo wao watakusuta :D

Mengine mbona umeacha ku quote?

Sense of maturity, naamini umeelewa na sihitaji kuendelea na hilo saga… just relax and live.
 
Kuna ndege imetua jion hi JESHINI na mwili sijui wa. Nani lets see n fm Nairobi
Tusubiri mamlaka.zituambie za ug
 
Back
Top Bottom