wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,454
- 4,376
Hatari sana....
Shida yetu waafrika kusoma hatutaki, tunataka kucheza ngoma na kutunzwa tu.
Kama mna wasiwasi na hili jambo, mlishandwae kuwa na wataalamu wa kuthibitisha kama hii chanjo ni sawa au ni mkakati? Maneno meeeengi mwisho wa siku mnawategemea hao hao wenye "mikakati" kwa kila kitu.
umeandika kiujinga ukweli. Wewe hutokufa uko mbeleni sio?Una ujinga mwingi sana, ufiche mbali huenda utakufaa huko mbeleni.
Kwani hao wataalamu utawateua wewe?
Kabisa hata mm naaminiAkili tunazo mkuu tatizo jinsi tunavyo zitumia ndipo shida inapoanzia.
👉🏾So bado tunapaswa kuwa chini ya himaya fulani.
umeandika kiujinga ukweli. Wewe hutokufa uko mbeleni sio?
Wateue wewe hao wataalamu ili wakuthibitishia kama chanjo ilioletwa ni sawa na ya wanayotumia
Yaani huyo Jmc06 kwa kuweka tu hiyo link amedhihirisha hawezi kuwa daktari kama anavyotaka kuaminisha umma.Yaani wewe unaamini hao vichaa? Inaonesha jinsi gani bongo yako ni primitive. Ndiyo maana nikakuambia unasikiliza habari za vijiweni, vijiwe siyo tu huko Namtumbo ulipo, hata hao ambao unawahusudu kwa kiingereza chao kwao kuna vijiwe.
Mkuu narudia tena kwa kusisitiza Kama hujachanjwa achana na hizo chanjo hiyo process ni irreversible, huwezi kurekebisha makosa yako. Miaka 2 kuanzia Sasa kutakuwa na magonjwa kibao kutokana na hizo chanjo na tayari pharmaceutical companies zipo hewani zinatengeneza dawa kuwauzia waathirika. Kuna madaktari kibao mabingwa wazungu tena wengine toka US wameelezea vizuri athari za hizi chanjo,Ila sababu mmeamua kufumba macho na masikio sina namna ya kuwaelewesha zaidi.Yaani huyo Jmc06 kwa kuweka tu hiyo link amedhihirisha hawezi kuwa daktari kama anavyotaka kuaminisha umma.
Daktari hawezi kuwa na uelewa mdogo hivi. Yaabi Daktari hajui kuwa hata kwenye dunia ya kwanza kuna watu wajanja wajanja, kama tu tulivyo na akina "mwanaharakati huru"
Jibu lako ulipouliza kuhusu wapi umeenda kuhusu kufa.... So unaweza kujiona ulivo mjinga kuwa hata ulichokiandika hukijui.Una ujinga mwingi sana, ufiche mbali huenda utakufaa huko mbeleni.
Kama huwaamini watakaoteuliwa, kwanini wewe usiteue independent scientist wakathibitisha uharo wako?Wenye uwezo wa kuteua hao unaowaita wataalamu ni hao hao wenye mamlaka, unafikiri wataenenda kinyume na maelekezo yao!
Na watu wanakufa kwa covidKovidi sio ya kwetu, viongozi wenu wametamanishwa kwa ahadi za mikopo ili wawachuuze huko…. usiku utapokwisha.
Jibu lako ulipouliza kuhusu wapi umeenda kuhusu kufa.... So unaweza kujiona ulivo mjinga kuwa hata ulichokiandika hukijui
Yeah sikuona hio extra "a" ungeonesha mapema lakini ndio tabia za mademu badala kuonesha error ilipo wao watakusutaNiliandika hivi, ujinga wako ufiche huenda utakufaa huko mbeleni.
Ni utakufaa, sio utakufa…. japo nyie mademu huwa mna matatizo ya uandishi.
Kufa kila mmoja atakufa, lakini sio nilichoandika hapo.
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Yeah sikuona hio extra "a" ungeonesha mapema lakini ndio tabia za mademu badala kuonesha error ilipo wao watakusuta
Mengine mbona umeacha ku quote?
Kane is no more!Bad news n ugandaa soon will be announced