Is IPP Media website down?

Status
Not open for further replies.

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,257
Je hii site imevurugika au... maana siwezi kuipata kirahisi, kuna yeyote yule mwingine ambaye anapata tatizo?!

Nauliza kwani kama site nyinginezo zinazotembelewa na Watanzania wengi itakuwa vizuri kujua yaliyojiri katika ippmedia.com pia. Asante.

SteveD.
 
iko poa tu. labda wana kisa na wewe.
 
iko poa tu. labda wana kisa na wewe.

defunk, kweli kabisa imeanza kufunguka sasa... hata hivyo inajikanganya kweli kweli...iko slow mpaka inaudhi! Na miss business news toka nyumbani unajua, huwa wanareport vizuri.

SteveD.
 
Mie naipata freshi tu. Haina matatizo hapa kwangu. Check connection yako my be kuna shida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom