Is Human Life a mistake? Or are Humans a God's mistake?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,066
26,999
Anyways ,Karne hii ya 21 idadi ya watu wanao jiuliza maswali kuhusu Mungu na maisha ya mwanadamu nje ya vitabu vya dini kama vile Bile,Quoran, na Talmud inaongezeka kila uchwao.

Kati Yao wapo na Atheist wapo wale wanao amini kwamba maisha ya mwanadamu is a result of God's mistake na wapo wale wanao amini kwamba maisha ya mwanadamu sio kosa la Mungu Kwa sababu Mungu NI mkamilifu na Hawezi kufanya kosa lolote isipokuwa wao Wana amini kwamba MAISHA YA MWANADAMU SIO MPANGO WA MUNGU ISIPOKUWA NI MAISHA YA BINADAMU YAMETOKEA KIMAKOSA.

They say HUMAN LIFE IS A MISTAKE.

Hoja Yao NI nini ? WANASEMA " HUMAN LIFE IS A MISTAKE INSIDE THE DEAD!!!

EVERYTHING IS DEAD OUTSIDE EXCEPT HUMAN BEINGS AND OTHER LIVING THINGS IN THE ANIMAL KINGDOM.


ONLY A LIVING CREATURE CAN MOVE FROM ONE POINT TO ANOTHER POINT PER ITS OWN WILL. IT IS NOT APPLICABLE FOR PLANETS, STARS, ATOMS , STONES ETC.

IF YOU DIE, BACTERIA WILL START MOVING INSIDE YOUR BODY. YOU ARE NOT MOVING BUT BACTERIA ARE MOVING. SO , TO THE EARTH, HUMAN BEINGS ARE WHAT BACTERIAS ARE TO THE DEADBODIES.

AS HUMANS , WE ARE NOTHING BUT BACTERIAS MOVING IN THE DEAD EARTH.

They believe that Life has been evolved in its own inside the dead earth/universe.

Wana nondo nyingine Sana nitaendelea kuzishusha moja baada ya nyingine.

Plus nitakuja na theories nyingine kuhusu asili ya binadamu na ulimwengu nje ya vitabu vya dini..

# kama kweli vile
 
Back
Top Bottom