Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,925
- 31,850
Swala la shule ya awali kwa watoto limekuwa dorminated na private sector,
Nyingi ni English medium,
Nilikua napendekeza serikali ianzishe shule za awali kwa watoto wadogo, ziwe nazo zinafundisha kwa kingereza na ambazo zitakuwa affordable. Hii itaunda ajira kwa walimu ambao wengine wameshindwa kuajiriwa, kwa kuwa wako wengi.
Na pia serikali iangalie swala la mishahara kwa walimu,hii ni kazi moja wapo ngumu, malipo yaendane na ugumu wa kazi, ili hii preffession iheshimiwe.
Wasalaam,
becky.