Is climate change a reality in Tanzania?

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
I have been asking myself this question. So I wanted JF great thinkers to help me with concrete answers. You know countries with poverty minded leaders like ours have been dancing to the tunes of the so called first world countries. They started with gender issues (remember the Beijing conference),then came Malaria,HIV/AIDS,environmental degradation and concerns (issues of participatory natural resources management in forest and wildlife sectors emerged). And now there is climate change. This tune has allured most intellectuals in TZ,to the case that everybody now wants to be engaged in climate change research. Dubiously, Norway has been the major donor on the so called climate change issues in TZ. I wonder what are their interests? However,from a CLIMATEGATE scandal point of view,I am being sceptical on validity of this tune in TZ. Moreover, from a meteorological point of view,for a place to be named as of a certain climate,a 30 years study of weather patterns of that place is needed. So I wonder how in TZ people are talking of climate change by just refering to predictory reports of IPCC and the like. Where such reports have been highly criticised due to unreliable and false predictions (refer to a case in the Himalaya Mountains whereby IPCC predicted a decrease of ice,but it came to be learnt,such predictions were mere narrative and not scientific conclusions. So with such scepticism, JF great thinkers help me out with the case in TZ.
 
yeah, climate is real!!!

kwanza angalia nkiwango cha theluji iliyoko kwenye mlima kilimanjaro kilivyoporomoka, ukiangalia picha za miaka kadhaa ya nyuma ulikuwa unaona ule mlima ulikuwa snow-capped lakini leo, ile theluji imepungua sana, so hayo ni mabadiliko ya halijoto

pili kuna mabadiliko makubwa sana ya hali ya hewa katika baadhi ya maeneo hapa bongo, kwa mfano mkoa mpya wa njombe ulikuwa ni eneo la baridi sana na kwa kawaida maeneo ya baridi maambukizi ya ugonjwa wa malaria huwa ni machache sana ,lakini tafiti zimeonyesha kuongezeka kwa kasi kubwa katika miaka ya karibuni kwa ugonjwa wa malaria maeneo hayo, hali inayodaiwa kuchangiwa na kuongezeka kwa joto mkoani humo.

tatu nimekuja kugundua kuwa ni kweli kina cha maji yabahari kinaongezeka, kama mlikuwa ni watu mnaopenda kwenda coco beach miaka ya 80 na 90 na mkienda leo mtagundua kuna tofauti kubwa sana ya eneo ambalo mwisho wa maji unafika. lile eneo la mwisho kabisa kule coco beach karibu na kule ambako imejengwa ile bar miaka ya zamani kabisa lilikuwa maji hayafiki kwa ukaribu kabisa, nilivyokuja kwenda tena mwaka huu nimekuja kuona maji yamesogea sana kuja nchi kavu maana yale maeneo ambayo sisi tukiwa wadoo tulikuwa tukiogelea bila shida, hivi sasa ni maeneo ambayo maji ni mengi kulinganisha na ilivyokuwa zamani.

mwisho kama upo bongo, utatambua kuwa misimu yetu ya mvua imekuwa unreliable na ikinyesha inakuwa hafifu sana
 
It is a deliberate lie! there is no such thing called global warming or 'man made climate change' my friend. Professors at udsm etc, most of them have been engaging doing pieces of reserach in environmental with no remarkable findings of their studies in our country. They get money/fund, they propose title/problem statement, they cook data, they present and got masters degree/phd, and more money!! life goes on

For thinker any issue relating environmental degradation should be taught from childhood, curriculum in our schools should be changed and all matters regarding environmental can be simply covered there. Protection of enviornmental should be an habit not a threa!!!

I perused a book 'World at Risk' written by Beck Ulrich 2009, you will find out that climate change/global warming is just a bla bla! so many politics are revolving around this matter

Then I discovered that there ia a big different between global warming/climate change and risk!!! it seems we are dreaming about the problem (anticipating) we are not actually living in...yes world changes but mostly naturally, not because of man made actions.

I stand to be corrected
 
[QUOTE=matambo;yeah, climate is real!!!

kwanza angalia nkiwango cha theluji iliyoko kwenye mlima kilimanjaro kilivyoporomoka, ukiangalia picha za miaka kadhaa ya nyuma ulikuwa unaona ule mlima ulikuwa snow-capped lakini leo, ile theluji imepungua sana, so hayo ni mabadiliko ya halijoto


Mtazamao wangu: suala la theluji ya Mlima KLM lina utata sana. Kwani mpaka sasa hakuna local empirical au scientific study iliyofanyika kujustify hali iliyopo. Tunatumia findings za watu wa nje ambao interests zao katika findings izo hatuzijui. Pia wenyeji wa Ml. KLM wanasema kua kipindi cha majira ya baridi, theluji mbona uwa inakua katika hali yake ya kawaida?!? Ila kipindi cha joto ndipo theluji inapungua. Sasa kwa namna iyo kunakua na wasiwasi pengine hao wanaofanya tafiti wanakua hawafanyi katika majira yote ya mwaka.

pili kuna mabadiliko makubwa sana ya hali ya hewa katika baadhi ya maeneo hapa bongo, kwa mfano mkoa mpya wa njombe ulikuwa ni eneo la baridi sana na kwa kawaida maeneo ya baridi maambukizi ya ugonjwa wa malaria huwa ni machache sana ,lakini tafiti zimeonyesha kuongezeka kwa kasi kubwa katika miaka ya karibuni kwa ugonjwa wa malaria maeneo hayo, hali inayodaiwa kuchangiwa na kuongezeka kwa joto mkoani humo.


Mtazamo wangu: jaribu kuangalia na upande wa pili. Maana inasemekana uhamiaji wa watu kwa wingi maeneo kama ya Njombe ni sababu kubwa ya Malaria kuanza kusikika kwenye maeneo hayo. Wahamiaji wanakuja na vijidudu vya Malaria katika miili yao, kisha wanavieneza kwa wakaazi wa hapo, in a long run and in large number, wataalamu wa afya wanasema, Malaria inakua dominant katika maeneo kama hayo.

tatu nimekuja kugundua kuwa ni kweli kina cha maji yabahari kinaongezeka, kama mlikuwa ni watu mnaopenda kwenda coco beach miaka ya 80 na 90 na mkienda leo mtagundua kuna tofauti kubwa sana ya eneo ambalo mwisho wa maji unafika. lile eneo la mwisho kabisa kule coco beach karibu na kule ambako imejengwa ile bar miaka ya zamani kabisa lilikuwa maji hayafiki kwa ukaribu kabisa, nilivyokuja kwenda tena mwaka huu nimekuja kuona maji yamesogea sana kuja nchi kavu maana yale maeneo ambayo sisi tukiwa wadoo tulikuwa tukiogelea bila shida, hivi sasa ni maeneo ambayo maji ni mengi kulinganisha na ilivyokuwa zamani.


Ilo suala nalo lina utata sana. Kwani tafiti izo za watu wa nje zinajikanganya sana, wengine wanasema kina cha pwani ya Afrika Mashariki kinapungua, wengine kinaongezeka!! Sasa kwa izo school of thoughts inakua vigumu kujistify any. Kwa maana kuongezeka ama kupungua kwa kina kuna implications katika kiwango cha maji.

mwisho kama upo bongo, utatambua kuwa misimu yetu ya mvua imekuwa unreliable na ikinyesha inakuwa hafifu sana.


Mvua kua unreliable mzee si kwamba ndo climate is changing!! Iyo inaweza kua ni weather variations tu. Unajua kuna tofauti kubwa ya weather na climate. Sasa kama nilivyosema kwa mtu kusema climate ya mahala fulani, ni lazima tafiti za weather patterns kwa miaka 30 katika eneo ilo ifanyike. Kwa TZ bado hatuna tafiti za namna, bado tunarely on predictory reports za IPCC na mashirika mengine ya nje. Kisha tunajump into that wagon to make some cash out of this constructed rality!!!
 
ni kweli ukiangalia mlima Kilimanjaro Theruji yake imepungua sana, nilishawahi kuona picha iliyopigwa 1920 na iliyopigwa recently kuna tofauti kubwa sana ukiziangalia hizo picha, almost 75% ya theruji imeondoka, lakini hii pia inaweza isiwe sababu ya Climate change, scientificaly continents zinamove na invyoaminika kuwa Africa Continent ina move Northward sasa madhara yake Kilimanjaro inaaproach Ikweta ambapo joto lake ni kubwa kiasi , na hii ndio sababu pia inayofanya Lake Chad kukauka, (kama kuna maelezo zaidi ningefurahi)

kuhusu hilo la Bahari,
Ni kwamba sehemu kubwa ya Dar es salaam hipo almost at sea Level 4m to 10m asl,
na kwa reseach zilizofanyika hapa Tanzania ni kuwa hiyo bahari ya hindi (Tanzanian Coast) ina period ya 10years ya Transgression na miaka10 mingine ya Regression, yaani ndani ya miaka kumi bahari inakuwa inaingia nchi kavu na miaka kumi mingine bahari huwa inakimbia, ukiangalia Kunduchi beach Hotel, kuna kipindi unaona kama inamezwa na kuna miaka inaonekana hipo salama,
Lakini hilo sio geni sana kwani scientificaly hiyo bahari ya hindi ilikuwa inaishia maeneo ya Mdaura/Chalinze/Kidugalo nk kwa hiyo kuna uwezekano wa Mji kama Dar kumezwa na maji

Climate Change inaweza kuwepo Tanzania labda kwa kutazama upunguvu mkubwa wa Mvua, ni kweli kuna upungufu mkubwa sana wa Mvua, inafikia kiasi hata ile mito ambayo ilikuwa ina tirirsha maji kwa mwaka mzima sasa imegeuka kuwa season rivers,
 
all in all, we have to refer to the LAW OF THE CONSERVATION OF ENERGY; That energy is neither created nor destroyed, it only changes form!!!
 
QUOTE=Kituko;ni kweli ukiangalia mlima Kilimanjaro Theruji yake imepungua sana, nilishawahi kuona picha iliyopigwa 1920 na iliyopigwa recently kuna tofauti kubwa sana ukiziangalia hizo picha, almost 75% ya theruji imeondoka, lakini hii pia inaweza isiwe sababu ya Climate change, scientificaly continents zinamove na invyoaminika kuwa Africa Continent ina move Northward sasa madhara yake Kilimanjaro inaaproach Ikweta ambapo joto lake ni kubwa kiasi , na hii ndio sababu pia inayofanya Lake Chad kukauka, (kama kuna maelezo zaidi ningefurahi)

kuhusu hilo la Bahari, Ni kwamba sehemu kubwa ya Dar es salaam hipo almost at sea Level 4m to 10m asl, na kwa reseach zilizofanyika hapa Tanzania ni kuwa hiyo bahari ya hindi (Tanzanian Coast) ina period ya 10years ya Transgression na miaka10 mingine ya Regression, yaani ndani ya miaka kumi bahari inakuwa inaingia nchi kavu na miaka kumi mingine bahari huwa inakimbia, ukiangalia Kunduchi beach Hotel, kuna kipindi unaona kama inamezwa na kuna miaka inaonekana hipo salama.Lakini hilo sio geni sana kwani scientificaly hiyo bahari ya hindi ilikuwa inaishia maeneo ya Mdaura/Chalinze/Kidugalo nk kwa hiyo kuna uwezekano wa Mji kama Dar kumezwa na maji.
Climate Change inaweza kuwepo Tanzania labda kwa kutazama upunguvu mkubwa wa Mvua, ni kweli kuna upungufu mkubwa sana wa Mvua, inafikia kiasi hata ile mito ambayo ilikuwa ina tirirsha maji kwa mwaka mzima sasa imegeuka kuwa season rivers,

Well said. What you have described,isn't it climate variability?
 
Morogoro before 90's milima ya Uluguru ulikua unaiona kuanzia saa 6 au hali ya hewa ikiwa vipi utaiaona saa 5 asubuhi na kuendelea. Kama saa kumi hujaoga hutaoga siku hiyo. I am still living and working in Morogoro, hata nikiamka saa kumi na 11 alfajiri sasa hivi Milima naiona na ninaishi nje kidogo ya mji na ninaoga muda wowote nitakao, joto sasa hivi halina tofauti sana na Dar Es Salaam. Those old good times of sleeping anytime, bila kuoga hamna joto are gone. The climate change is something real. Bahati mbaya tuna viongozi ambao sio kabisa. Mkuu wa Wilaya, Said Mwambungu kila siku anasema watu wasikate miti na kuchoma miti milimani, badala ya kuchukua hatua as he has that authority. Ofisi ya Mkuu wa Mkoaa iko at the slopes of milima, kila siku naamini akiwa ofisini he could tell ni mti gani umekatwa, but hamna cha maana wanachochukua against the move. The climate change is something real.
 
Back
Top Bottom