Is Chenge Qualified to be MP....... (Source Guardian) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is Chenge Qualified to be MP....... (Source Guardian)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VoiceOfReason, Jan 9, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0


  My take

  Kwenye RED Hivi Uzalendo umetushinda, kama anajua kuna kipengele kinaweza kumuondoa madarakani huyu bwana kwanini aspitie hiyo hukumu... au kufanya kazi mpaka ulipwe..... Kwanini wanasheria wasimalize hii issue tujue kama jamaa anastahili kuwa mbunge au hapana
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Chenge si mwenzetu jamani au mmesahau?
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Hizi sheria zetu ni maalumu kwa baadhi ya watu, wengine haziwagusi!
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  lakini according to huyu private lawyer.. kuna kipengele hiki...
  Sasa kama kipo kwanini asifanye the needful... au anangoja nani afanye?
   
 5. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Unaweza kuamini lolote toka kwa lecture wa law toka UDSM?
  Ni sehemu ya matatizo tuliyonayo.
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kweli nadhani huyu jamaa, anajisemea tu.... hivi hii ni traffic offence peke yake, vipi kuhusu kugushi insuarance certificate, and what constitutes as immoral behaviour...
   
 7. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  it seems that Tanzania has a law or rule and not a rule of law
   
Loading...