Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Hii ndio Anti tank ambayo imeipiga jeep ya jeshi la Israel sasaiviView attachment 1781778
20210512_090532.jpg
 
Hayo majitu ndio maana Hitler aliyanyonga ,kwa nini watake kupora ardhi za wenzao?

Pumbavu sana,mimi sio kiislamu lakini huu ujinga wa eti imani ni ushenzi wa kukiuka haki za Binadamu,,Irani awapenyezee silaha hao Wapalestina
Waambie wenzako waache uchokozi
 
israel yote mitaani mle kuna mahandaki, watu huwa wanakimbilia handakini. vilevile, imekuwa vyema kwa waisrael kupigwa kwani hiyo itasaidia kutathmini uwezo wa ulinzi wao/iron dome ili kuboresha. wasingejua udhaifu huo wasingeboresha. hapo haimaanishi waarabu wameshinda, aaa wapi, bado israel ni mshindi tu kwasababu kipigo atakachokitoa siku zote huwa kina athari kubwa kwa waarabu, ni bora wakakaa chini kujadiliana kuliko kupigana kwasababu wakipigana israel atashinda siku zote.
 
Kwaio FB ni reference :D :D :D
Kila siku huwa nakwambia na nitaendelea kuwaambia vita si kitu rahisi kama unavyo fikiri aijalishi ni mpinzani gani unaye kabiliana naye.
Hamas ni kikundi cha watu ambacho akizidi 30000 tena lenye silaha duni.
Lakini limeshabisha Israel inayo tumia mabilion ya$ kunua silaha za kila aina kutangaza hali ya dharura sasa hivi mayahudi wamejificha kwenye maandaki kama mapanya.View attachment 1781884View attachment 1781885
Screenshot_20210512-115728.jpg
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom