IRIS-Series bora ya kipelelezi kutoka Korea

swadakta, siwezi kuangalia series za kimagharibi bila ya laptop(nipate kutumia earphones).
halafu siku hizi wamekuja na mfumo wa kutangaza ushoga kwa lazima

nimeangalia berlin station season 1 ni mwendo wa ushoga tu
Ushoga/usagaji umekuwa intergrated rasmi kwenye kila burudani kubwa duniani..hata soka pia..Epl na klabu zina program za kuwatambua hawa watu na wanasema usawa uwepo
 
Sijaona series ya kitoto kama hii.

Yaani taasisi inamtafuta mtu kwa miaka zaidi ya 10.

Kisha anakuja mwajiriwa mpya anasuggest si tutumie face id? Face id inatumika ndani ya nusu saa washampata na wanajua mpaka anapoishi na kesho wanaenda kumfuata.

Unashangaa: Hii taasisi hiko kifaa wanacho tangu muda ila hakuna aliyewahi kusuggest wakitumie, yet huyo mtu ni muhimu kwa usalama.

Ndiyo maana hua siangalii series ujinga ujinga mwingi sana na kuona wenzao hawana akili.

Bora nilivyoangalia Spartacus, Dead Zone na 24 sikujuta kupoteza muda wangu.
Ulichokipenda kwenye spartacas ni nin mkuu?
 
main character kufa episode ya kwanza season ya pili ndio nlipochokea na kuishia hapo hapo
We ni muongo Main character wa IRIS 1 Alikua Lee Byung Hun nadhana umemuona kwenye GI Joe akiwa kama Stone Shadow.Alikufa kweny episode ya mwisho ya Season 1.Alipigwa risasi wakat anarnda kukutana na Mpenzi wak na aliemuua alikua mdogo wa ye dada ambae alikua agent wa Korea kaskazin.
Season 2 starring wake Jung Hyu Ki yy pia alikufa episode ya mwisho alipoenda kulipua ndege iliokua na bomu baharin.

Maybe ww Ulijua Cast wa season 1 ndio walikua kwenye season 2 ila haikua ivyo.Main cast walibadilishwa wote na alibakia Baeksan peke yake.Hata kitengo cha NSS almost wote walibadilishwa
 
Mimi hii ilinishinda mapema sana. Huwa siwezi angalia series za kitoto kama hizi. Nikiona inakosa uhalisia au umakini naachana nayo. Hii ni ya kitoto sana.

Sijaona series ya kitoto kama hii.

Yaani taasisi inamtafuta mtu kwa miaka zaidi ya 10.

Kisha anakuja mwajiriwa mpya anasuggest si tutumie face id? Face id inatumika ndani ya nusu saa washampata na wanajua mpaka anapoishi na kesho wanaenda kumfuata.

Unashangaa: Hii taasisi hiko kifaa wanacho tangu muda ila hakuna aliyewahi kusuggest wakitumie, yet huyo mtu ni muhimu kwa usalama.

Ndiyo maana hua siangalii series ujinga ujinga mwingi sana na kuona wenzao hawana akili.

Bora nilivyoangalia Spartacus, Dead Zone na 24 sikujuta kupoteza muda wangu.
 
Kama ww ni mfatiliaji wa series za Korea bas hutapinga kuhusu hili kua IRIS ndio sereis bora ya kipelelez nchini Korea.

Hii series ndio ilikua series iliotumia budget kubwa mpka pale series kama #areyouhuman na #Mrsunshine zilipotoka.

IRIS ina season 2 na kila season ina episode 20 na kuzifanya kua episode 40.episode ya kwanza ya season 1 ilioneshwa 7 March2009 na ya mwisho iliruka 14 December 2009.

Lead actors alikua Lee Byung Hun aliekua hajafanya kazi katika small screen tangu mwaka 2003.Pia lead actress Kim Tae Hee alikua hajafanya kazi yeyote tangu 2004.

Plot
Story inahusu vijana wawili Ji sang woo na Kim Hyun Jun waliokua special forces na waliapa kuwa kama ndugu wa damu.Wanakua recruited kwenye Kitengo cha NSS ambacho ni kitengo cha siri cha ulinzi wa Taifa.

Wawili hao wanajikuta katika love triangle kwa kumpenda bint mmoja anaeitwa Seung Hee ambaye ni Agent wa NSS.
Kim hyun jun amafanikiwa kua na msichana na hapo Jin Sa Woo anaamua kuzuia isia zake sabab ya rafiki yake.

Kim Hyun Jun anatumwa Budapest Hungury kweny mission ya siri,anakamilisha mission hyo na anakua persuated akiwa na jera la risasi.

Rafiki yake anapewa mission na director wa NSS Mr.Baek San ya kwenda kumuua Kim Hyun Jun akimwambia kua ni msaliti.Kim hyun jun anamuona rafiki yake akidhan amekuja kumpa msaada kumbe alikuja kumuu.Kim hyu jun anafanikiwa kutoroka na ndege lakin rafiki yake anaipga risas ndege na inaanguka.Wanamtafuta pale kwnye ajali lakin hawampati,na inasemekana amekufa

Miaka miwili baadae Kim Hyun Jun anarudi kulipa kisas katika kitengo cha NSS akishirikikana na kundi la magaidi la IRIS.

Icheki netflix,vikiapp,viu na
Www.kissasian.ch

View attachment 1607076
Ni kweli kabisa
 
main character kufa episode ya kwanza season ya pili ndio nlipochokea na kuishia hapo hapo
Walizingua sana waandaaji wa IRIS! Yaani Mnyama ndiyo alikua yuko zake kwa gari kwenda kwa mrembo wake aliyekua anamsubiri kwenye ule mnara! Ghafla tunasikia paaaaah!! Jamaa pale pale, kwisha habari!

Kulikuwa kuna ulazima kweli wa Sterling kuuwawa kizembe vile! Season 2 haina mvuto kabisa! Haina tofauti kabisa na wale jamaa wa MPIRA BIRIANI! Kama wakitaka wafanikiwe kwenye Season 3, basi wamrudishe yule Sterling "Mnyama" na watufanganyie ya kwamba siku ile alipopigwa risasi akiwa kwenye gari akimfuata mpenzi wake, hakufa!
 
We ni muongo Main character wa IRIS 1 Alikua Lee Byung Hun nadhana umemuona kwenye GI Joe akiwa kama Stone Shadow.Alikufa kweny episode ya mwisho ya Season 1.Alipigwa risasi wakat anarnda kukutana na Mpenzi wak na aliemuua alikua mdogo wa ye dada ambae alikua agent wa Korea kaskazin.
Season 2 starring wake Jung Hyu Ki yy pia alikufa episode ya mwisho alipoenda kulipua ndege iliokua na bomu baharin.

Maybe ww Ulijua Cast wa season 1 ndio walikua kwenye season 2 ila haikua ivyo.Main cast walibadilishwa wote na alibakia Baeksan peke yake.Hata kitengo cha NSS almost wote walibadilishwa

noted mkuu shukrani kwa maelezo
 
Nakubali, ni movie ambayo content yake wengi hajaielewa... Wanajaribu kuzungumza jinsi mataifa makubwa yanavyowatumia kuwagombanisha wakorea... Hasa korea kaskazini na kusini... Bonge la series
Hii ni series ambayo imetengenezwa kuelezea mgogoro wa Korea kusini na Korea kaskazini.
 
We ni muongo Main character wa IRIS 1 Alikua Lee Byung Hun nadhana umemuona kwenye GI Joe akiwa kama Stone Shadow.Alikufa kweny episode ya mwisho ya Season 1.Alipigwa risasi wakat anarnda kukutana na Mpenzi wak na aliemuua alikua mdogo wa ye dada ambae alikua agent wa Korea kaskazin.
Season 2 starring wake Jung Hyu Ki yy pia alikufa episode ya mwisho alipoenda kulipua ndege iliokua na bomu baharin.

Maybe ww Ulijua Cast wa season 1 ndio walikua kwenye season 2 ila haikua ivyo.Main cast walibadilishwa wote na alibakia Baeksan peke yake.Hata kitengo cha NSS almost wote walibadilishwa
Vp kuhusu Mr black
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom