Iringa (V) Kama Hii ni Kweli Basi Kazi Ipo

Ofisi zingebaki pale pale. Ni maamuzi ya kishamba Sana na ninaamini JAFO aliipokea hii amri kutoka Kwa mwenda zake kishingo upande. Halmashauri nyingi zilibakishwa makao makuu ya wilaya Kwa kuangalia jeographia ilivyo . Kwa ushahidi zaidi angalia jographia ya baadhi tuu ya hizi halmashauri.

Moshi v
Morogoro v
Iringa v
Nzega
Chamwino
Babati v.
 
Hata hiyo Kilolo Iringa ni mzigo kwa mtu wa Ruaha Mbuyuni
 
Nilikuwa nawasikiliza wazee fulani kwenye mjadala wao hapa mijini, wanashangaa maamuzi ya kujenga ofisi za Halimashauri ya Iringa Vijijini huko Ihemi, yaani kilomita 155 toka Mtera na kilometa 130 kutoka Ruaha Mbuyuni, ikimaanisha wananchi kutoka maeneo hayo mawili Mtera na Ruahambuyuni watasafiri mpaka Igumbilo, kisha wapande mabasi kwenda Ihemi, na wale wa Mtera watapanda bus kwa utaratibu huohuo kitu ambacho siyo rafiki kwa muda hata uchumi

View attachment 2021173
Pigeni makofi kwa Mwendazake mzalendo mnamlilia nani sasa.
 
Kwani wameacha?
Labda ina makusudi, imagine mtu atoke visiwani Mafia mpaka Kibaha, unatoka kwenye mkoa wako unapita mkoa mwingine halafu unarudi mkoani mwako tena, ni kama enzi zile, mtu anatoka Dar anapita Nairobi kwenda Mwanza na mwingine anapita Kampala kwenda Kagera
 
Hoja ilikuwa ofisi zijengwe kwenye ardhi ya halmashauri husika eti wawe karibu na wananchi huku jiografia ya utawala na miundo mbinu vinapishana sana.
Zimetumika hela ovyo bila sababu za msingi.
Labda ina makusudi, imagine mtu atoke visiwani Mafia mpaka Kibaha, unatoka kwenye mkoa wako unapita mkoa mwingine halafu unarudi mkoani mwako tena, ni kama enzi zile, mtu anatoka Dar anapita Nairobi kwenda Mwanza na mwingine anapita Kampala kwenda Kagera
Hapo katikati si anapita kwenye wilaya kadhaa,jiji,mkoa,wilaya then kibaha.
Ni kuchelewesha maendeleo tu.
Kila halmashauri inatakiwa iwe na katibu tawala wa halmashauri.vunja mamlaka za mikoa kiutendaji.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom