Iringa ndio maskani

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,312
6,638
Wakuu kuna kipindi nilikuwa nakutana na hayo maandishi,IRINGA NDIO MASKANI,nimeamua nianzishe huu uzi ili tuweze kupashana mambo ya mkoa wetu,ingawa wengine tulizaliwa na kukulia mbali,but damu zetu na kabila zetu asili yake ni huko,wazalendo wote wa mkoa wetu tukutane hapa tujadili maendeleo,matukio na kila kitu kuhusu iringa,kimkoa kitaifa na kimataifa.

Picha zikipatikana itakuwa safi zaidi,nakupenda kwetu Iringa!
 
IMG_8908.JPG
 
wakuu kuna kipindi nilikuwa nakutana na hayo maandishi,IRINGA NDIO MASKANI,nimeamua nianzishe huu uzi ili tuweze kupashana mambo ya mkoa wetu,ingawa wengine tulizaliwa na kukulia mbali,but damu zetu na kabila zetu asili yake ni huko,wazalendo wote wa mkoa wetu tukutane hapa tujadili maendeleo,matukio na kila kitu kuhusu iringa,kimkoa kitaifa na kimataifa...
picha zikipatikana itakuwa safi zaidi,nakupenda kwetu iringa!
Kamwene..!!
 
Mji gani wa kishamba huo
Njoo Durban huku uone

Wewe Iringa pa kishua wewe! Labda ulipita Ipogolo unavyoenda kwenu Utengoni Mbiga!
Wengi ambao hamjawahi kufika Iringa mkipita ipogolo mnasema ile ndio Iringa.
 
Back
Top Bottom