Iringa nakojoa! njombe nakojoa! Makete ndo nimeacha redio inaimba kasongo yeye! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iringa nakojoa! njombe nakojoa! Makete ndo nimeacha redio inaimba kasongo yeye!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by payuka, Aug 17, 2011.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  msikilize mkinga yule wa ndani kabisa vijijini, utagundua hawezi kutamka neno "NAKUJUA" na badala yake hutamka "NAKOJOA".
  Ndo maana kwenye mabishano fulani nilimsikia mkinga anawaambia wenzio wa dar es salaam. Iringa "NAKOJOA", Njombe "NAKOJOA" na Makete nimecha redio inaimba kasongo yeye. Akiwa anamaanisha hawezi danganywa kwania anazijua hizo sehemu zote.
   
 2. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  du afadhali umetufahamisha, maana unaweza kudawaa kwa jambo la kawaida kumbe watu wana maana nyingine.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ipo nyingine iyo wanakuambia haiwezekani tukose ata wa kumuomba ela ni kheri mmoja awe tajiri kwa kwa sacrifice ya mwingine
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  duh! watu wengine wakiongea unaweza sema wanatukana.
   
 5. The only

  The only JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  nadeclare intrest kwa muongozo wa spika payuka mimi mkinga ndili mkinga lakini ndili mborn town.
   
 6. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Bila shaka Dar Unakojoa! Arusha Unakojoa! Dodoma Unakojoa!
   
 7. n

  nyantella JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  This is a very hard human "cow dung"
   
 8. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Unamaanisha nini hapo? Wengine si wajuzi wa hizo lugha zenu za kuiga iga!

  Human "Cow dung"???????
   
 9. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  na wenzie wa wa mbeya hasa tunduma walikojazana aliwaambiaje?
   
 10. n

  nyantella JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ..ningeandika unavyotaka wewe mods wangenifungia! sahihisha mwenyewe unapoona pamekosewa ina hilo ni jina la kitu fulani unachokifahamu!
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaaaaa ITINDETE LUKOSI?????? UVA NKINGA NILINKINGA LAKINI REDIO JANGU KUMKWIMBA KASONGO...................IRINGA NAKOJOAAAA SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!
   
Loading...