TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Watu wanachuma laana! ....nimekasirishwa sana na maneno ya shigela kwenye taarifa ya itv....eti anashauri uongozi wa CDM uachie ngazi ndiyo unauua watu!!!!this guy is abnormal,.......

Ipo haja ya kujihoji kwa nini hawa watu kutoka Mbeya wanaandamwa na matukio ya kutishiwa uhai? Kulikuwa na Mwandosya, Mwakyembe, Ulimboka na sasa Mwangosi. Wameikosea nini CCM?
 
kwa akii yako likiwa la kuvunjia vizuizi ni azima liwe kubwa? Nani alikuambia ukubwa wa pua ni wingi wa makamasi?

Wewe nawe hata hujui kusoma? ni wapi niliposema lazima liwe kubwa? Soma vizuri post yangu, labda utaelewa.
 
Tuelewe katiba aitaki mchezo wala siasa za ushabiki, Tanzania inatumia njia ngumu sana kutafuta demokrasia ya kweli kwa kutotambua mapungufu ya katiba ya Nyerere (ndio misingi ya power za chama tawala ilipoanzia).

Huwezi kushindana na mtu mwenye huwezo wa kuamuru watu wapige risasi congregation za mikutano wakati wana practice their democraric rights. Tutaendelea na tume za serikali, Serikali ambayo aina mwangalizi wa makosa yake.

Kwa kweli hakukuwa na haja ya habari za muungano, sijui maliasili zilindwe vipi na wala habari za watanzania wanataka nini kwa sasa kutoka serikali. Tupo katika mashindano ya kisiasa kupitia vyama vingi kwa maana hiyo kwanza ilikuwa tuweke misingi sawa ya ushindani wa siasa sawa including equal access to other governing bodies such as the judiciary.

Sielewi kwanini wanasiasa wapinzani hawalioni hili ndio tatizo kubwa lao kubwa kwa sasa kuliko mambo mengine yanayo daiwa kwenye katiba, aina maana hayana umuhimu hila yanaweza ngojea for now democracy needs to be a priority and a proper balance and checks system or else tuzoe tu mauaji ya kuamrishwa, au hata ya kujipendekeza kwa kuelewa wateuaji wa madaraka kwenye vyombo vya ummani chama tawala.

We have given out so much powers to the ruling party and the central government, deregulation is needed first than anything else in the new constitution if that were a priority of opposition parties i don't think the police would be behaving the way they do. The police force know who they protect and in turn they receive the same from the central gov in a sense that the perpetrators of these evil atrocities are never in court (again controlled by the central gov for the large part) i dont see why this is not a priority in the new constitution than many other demands which only delay the process.
 
Nataka kujua hasa Kama bomu la machozi linaweza kufanya vile au ni silaha ya moto na ni Kwanini na kwa mazingira gani mpaka akawa marehemu peke yake bila hata Watu wengine kutokupata madhara makubwa Kama aliyopata marehemu wataalamu wa maswala ya silaha msaada wenu nauhitaji kunielewesha.Au ni bomu la vita lilirushwa Mods naomba usiunganishe hii thread.
 
mbona picha zina majibu yote?

Nataka kujua hasa Kama bomu
la machozi linaweza kufanya vile au ni silaha ya moto na ni Kwanini na
kwa mazingira gani mpaka akawa marehemu peke yake bila hata Watu wengine
kutokupata madhara makubwa Kama aliyopata marehemu wataalamu wa maswala
ya silaha msaada wenu nauhitaji kunielewesha.Au ni bomu la vita
lilirushwa Mods naomba usiunganishe hii thread.
 
Bomu la machozi mpigaji akiwa zero distance kabisa..limelipukia tumboni!
 
Bado kunahitajika maelezo ya kina ili kujibu swali hili. Wenye utaalamu kuhusu masuala haya, tafadhali.
 
haya maneno yametamkwa na Said Mwema ndani ya masikio yangu.

Kama nilivyomjibu naomba nikujibu tena,Mtawadanganya wananchi wasiojua mbinu zenu zilizoko sirini,lakini hamtamdanganya Mungu,na huu ni wakati wa Bwana.
Majonzi nimakubwa harudi nyuma mtu.

Ikulu mtaishia kuchungulia kwenye gate tu.
 
Proudly to be banned because of this Mother****en Pigllet.Wahuni hawa wafuatao: 1. Dhaifu 2. Liwalo na Liwe 3. IGP 4. endeleza na wengine.Wewe ni zaid ya Maku ndio maana toka mwanzo unaleta use&%$#N*&^Ge tu hapa.Kakojoe ulale!

We tukana ukweli unabaki pale pale.
 
Kuwa na polisi "Mbumbu" ni Janga la kitaifa!! Always najiuliza Tufanyeje sasa!! Nimetafakari sana na kuona Yule polisi Muuaji aliyekuwa ameshika Guruneti ni Dhairi alifikiria kuwa Ukifyatua Bomu la Machozi Huwa linatoa moshi Mwingi na sio Linalipuka and then ndio Moshi Unatoka!! Kwa hiyo alijua akifanya Vile Atakuwa amemkomoa Mwangosi!! Lakini pia Hakujua atasababisha madhara yote Hayo!! Hiyo ndio faida ya kulea Wahuni na Umbumbu katika Jeshi la Polisi!! Hata Kamuhanda nadhan Upeo wake wa Kupambanua unatia Mashaka!! Mtu ameshatoa amri Iliyosababisha madhara Makubwa Huko Songea Then anahamishiwa Tena Iringa kuuwa!! Sasa ndio naona kipindi cha Jeshi la polisi kujisafisha na "Maji Taka" Kimewadia!!
 
Back
Top Bottom