TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Mmmmmhh!! Sasa naona Nchi yetu police wanaielekeza pabaya!
Hili jambo si la kupuuzwa hata kidogo!
 
Tafadhali leteni chanzo chamtoa mada!Asitufanye turopoke mpaka BAN zitembee bure bila uhakika!
 
Na juzi polisi wameuwa wawili kule Nyamongo kwa niaba ya Wacanada! halafu yule RPC alikuwa anahalalisha kwamba kulikuwa wavamizi kama 1,000 na silaha za jadi na hivyo ilibidi wapige risasi kulenga miili ya ng'ombe, sorry, binadamu.

Waliokuwa kwenye tukio wasema wavamizi hawakuzidi 40!

Kweli polisi watatumaliza!
 
sio siri chadema hata kama hamhusiki ni rahisi kabisa kuunganisha hizi vurugu na haya maandamano kumbukeni kuwa watanzania wengi hawajaelimika na msifananishe hata kidogo maandaman yenu na yale yaliyotokea kule Misri kwa sababu zifuatazo:
. maandamano ya misri yalikuwa yanaongozwa na wananchi wa kati( middle class)
.maandamano ya cdm yanahusu vijana ambao hawajui watapata nini siku ya mwisho
 
Ni kama kuna thread moja iliandika jambo hili kama taarifa kuwa litatokea hili. Pole wafiwa na R.I.P mwandishi wa habari. Tusubiri polisi kulikanisha hili utasikia " rimarehemu rinepigwa na kitu chenye ncha kari". wapii.

Vipi umeishaanza kunywa zile Valeur zilizobaki jana?
 
Polisi wame open fire kwenye mkutano wa chadema?mazingira ya risasi kupigwa ni ya aina gani.Unaweza kujazia zaidi kwenye hii habari ndugu mleta habari?
Yani walikuwa wanatawanyishwa ama ni a sniper?
 
Confirmed amefariki wakuu inauma naandika huku machozi yananitoka
 
  • Thanks
Reactions: Paw
This is too much, kwanini risasi za moto? Habari kuwa mikutano ya kampeni imezinduliwa leo huko Zanzibar ni ya kweli?
 
sio siri chadema hata kama hamhusiki ni rahisi kabisa kuunganisha hizi vurugu na haya maandamano kumbukeni kuwa watanzania wengi hawajaelimika na msifananishe hata kidogo maandaman yenu na yale yaliyotokea kule Misri kwa sababu zifuatazo:
. maandamano ya misri yalikuwa yanaongozwa na wananchi wa kati( middle class)
.maandamano ya cdm yanahusu vijana ambao hawajui watapata nini siku ya mwisho
kwahiyo una maana hao watanzania ni less of the citizens?kwasababu ni watu wa chini basi hawana haki?
Nina wasi wasi sana na ubongo wako.IQ yako very low hata ku reason huwezi.Pole sana.
 
Na juzi polisi wameuwa wawili kule Nyamongo kwa niaba ya Wacanada! halafu yule RPC alikuwa anahalalisha kwamba kulikuwa wavamizi kama 1,000 na silaha za jadi na hivyo ilibidi wapige risasi kulenga miili ya ng'ombe, sorry, binadamu.

Waliokuwa kwenye tukio wasema wavamizi hawakuzidi 40!

Kweli polisi watatumaliza!

Kwenye red: Ninavyokumbuka hii ni mara ya pili polisi Nyamongo wanahalalisha mauaji kwa kisingizio hiki cha uwongo mkubwa.
 
leo nimemsikia DR. LWAITAMA kwenye station moja ya Tv akionya kwamba polisi hawapaswi kuzuia maandamano wala mikutano ya hadhara kwa maana hiyo ni haki ya msingi ya raia na badala yake wanatakiwa wawaelekeze wananchi ni jinsi gani ya wafanye maandamano yao kwa amani. polisi mnatukosea sana wananchi na ipo siku mtalia na kusaga meno.
 
Shenzy police.mtatumaliza.tunaomba taarifa kamili mkuu
 
Duh ,aise hii ni hatari sana hivi mbona nguvu na rasilimali nyingi sana vinatumika kwa vitu visivyo hitaji matumizi yake mbona hatuoni polisi wakitumia nguvu na rasilimali kiasi hicho katika kudhibiti ujambazi au ndo maagizo kutoka kwa wakubwa kudhibiti vyama vya upinzani.Mimi nadhani kwa mwendo huo ndio wanazidi kuvipa umaarufu ambao hata haustahili hivi kweli jeshi letu linakosa watu wenye busara kuepusha mauaji kama haya?
 
Confirmed amefariki wakuu inauma naandika huku machozi yananitoka

Unajua mazingira aliyokuwa wakati anapigwa risasi? polisi walikuwa wana-target waandishi wa habari, au alikuwa katikati ya umma?
 
Back
Top Bottom