Iringa mjini chini ya Msigwa na Meya wake, yaongoza kwa Usafi Kitaifa

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,120
439
Manispaa ya iringa tumekuwa wa kwanza kwa usafi kitaifa , HONGERA , wananchi wa manispaa iringa, meya Kimbe , na baraza la madiwani , hongera mkurugezi na watendaji wa manispaa kwa kazi nzuri ya kuweka manispaa yetu iwe safi, daima mbele nyuma mwiko.
1467724840230.jpg
1467724821202.jpg
1467724830403.jpg

The land of Mkwawa!!
 
Kwahiyo huyo mega na Msigwa wamelipiga deki hilo jengo?
Toka huko uliko Mrembo ni kuzimu maana Wana wa adam na Mungu walishaacha laana kwa kushindwa kuwapatia Watz. huduma za Msingi toka uhuru 09.12.1961 hadi leo tar. 05.07.2016 na kuendelea na hatimaye kuwanyima akili na maarifa si unaona hata ulichokiandika hapo juu.
Hapa kufai njoo huku uungame dhambi zako na kuwasemea masikini na wanyonge,kuliko kuwasemea wachache matajiri maana hakika ufalme wa Mungu kwao utakuwa ni Mgumu sana.
 
Kwahiyo huyo mega na Msigwa wamelipiga deki hilo jengo?
Usafi sio kupiga deki tu mkuu hata kutumia vizuri kichwa chako kuchanganua mambo nayo ni usafi..unadhani Mbunge na Meya wanaweza kwenda kupiga deki hilo jengo(hata kama ni hivyo unaona ingekuwa jambo la kujadili humu)ina maana hilo jengo hakuna wafanyakazi wanaohusika na suala la usafi?
 
DC sio kazi yake usafi wa mji yeye ni ulinzi na usalama. Ofisi yake haina kasma ya kununua hata fagio moja.
Msidanganyike na zile mbwembwe za RC mmoja anayedandia kazi za wenzake wakati madawa ya kulevya (jukumu la dola) yamemshinda
Teh teh jiji la Makonda
 
Ni Iringa ya Msigwa au Kasesela

Usafi wa mji unasimamiwa na Halmashauri ya mji/jiji. Mkuu wa Mkoa/Wilaya hana budget ya usafi hana nguvu kazi kwa kazi hiyo. Kazi ikifanyika vizuri ina maana wenye budget hiyo wametumia fedha ya serikali vizuri. Mkuu wa wilaya na Mkoa indirectly wanaweza kuhamasisha usafi lakini siyo core fuction yao... kwa hiyo pongezi lazima ziende kwa Manispaa husika
 
Kwa hiyo meya ana kasma? Mbona mnachanganya siasa na kazi?
DC sio kazi yake usafi wa mji yeye ni ulinzi na usalama. Ofisi yake haina kasma ya kununua hata fagio moja.
Msidanganyike na zile mbwembwe za RC mmoja anayedandia kazi za wenzake wakati madawa ya kulevya (jukumu la dola) yamemshinda
 
DC sio kazi yake usafi wa mji yeye ni ulinzi na usalama. Ofisi yake haina kasma ya kununua hata fagio moja.
Msidanganyike na zile mbwembwe za RC mmoja anayedandia kazi za wenzake wakati madawa ya kulevya (jukumu la dola) yamemshinda

Asante kasesera ndani ya muda mfupi mji safiii miaka iliyopita haikuwa hivi
 
Back
Top Bottom