Iringa: Mchungaji Msigwa aongoza mazishi ya Mwanachama wa CHADEMA aliyeuawa na Watu wasiojulikana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,586
217,976
Hivi ndivyo ilivyokuwa .

Mazishi_ya_Mwanachama_wa_Chadema_Iringa_Mjini_Rehema_Lukosi_aliyeuwawa_na_Watu_wasiojulikana_J...jpg
 
Mleta mada haujatutendea haki wasomaji wa uzi. Habari fupi mno
====
Poleni wafiwa.
 
Mleta mada haujatutendea haki wasomaji wa uzi. Habari fupi mno
Mkuu habari za mauaji ya wanachama wa chadema nchini Tanzania hazijawahi kuwa ndefu , wameteswa na kuuawa kama kuku mwenye mdondo kwa miaka mingi bila polisi kufanya lolote , unataka tuandike nini ?
 
Mkuu habari za mauaji ya wanachama wa chadema nchini Tanzania hazijawahi kuwa ndefu , wameteswa na kuuawa kama kuku mwenye mdondo kwa miaka mingi bila polisi kufanya lolote , unataka tuandike nini ?
Wamezoea kutunga maskript ya uongo Kama ya kina kingai Sasa wanadhani kila mtu ni mtunga skript.
 
Ukiona mfano mgambo ameuawa hutaweza mara moja kujua sababu. Utabuni mengi. Lakini ikiwa mgambo wataendelea kuuawa sababu ni moja tu nayo inahusiana na kazi yao yaani mgambo.
Kwa hiyo chadema wameuliwa kwa muda mrefu na sababu ni moja tu nayo ni chama chao na hoja zao. na asiyezipenda anajulikana.
Hata ikitokea ccm wanauliwa mara kwa mara utajua tu nani anahusika.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom