IRINGA: Mbunge Peter Msigwa akamatwa na Polisi baada ya kumaliza mkutano wa hadhara

Tanzania kwa sasa inaongozwa na ndugu zake magufuli karibu kila idara,namnukuu tundu lisu
Ni nani tena leo hii anayebisha kama huyu anayetuongoza ni udikteta?
Tundu lisu huyu anatofauti gani na Mobutu seciko aliyejenga uwanja wa ndege nyumbani kwake?
Magufuli amejaza watu kutoka kanda ya ziwa,na watoto wa dada yake serekalini
Jaji mkuu kanda ya ziwa
Mwanasheria mkuu kanda ya ziwa
Igp kanda ya ziwa
Cdf kanda ya ziwa
Naibu waziri wa nishati na madini mtoto wa dada
Katibu hazina mjomba wake,sasa huyu sio dikteta? Anauliza tundu lisu
Je swali kitendo cha rais magufuli kuweka wasukuma wenzake na watoto wa dada yake serekalini kunachangia na ukandamizaji wa demkrasia ya vyama vingi bila aibu?
 
Mkuu kwa statement yako kuwa 'hastahili kuishi' wewe utakua ni kati ya watu wasiojulikana.

Siyo kweli mkuu Mimi najulikana .

Kulingana na historia na mabadiliko ya dunia katika nyanja za uongozi na utawala hilo neno limetumika sana katika kuendeleza mataifa yote duniani.

Ni neno la kawaida hata "Yesu Kristo" , siku moja yule kuhani Mkuu sijui aliitwa Kayafa alisema, bora mtu mmoja afe Taifa lipone.
Kwa hiyo, Yesu Kristo akasurubishwa.

Hivyo, ni bora watu kuwa makini na kuacha kusema ovyo hovyo.
 
Wewe ndio akina yahya aliowaimba ladyjd majigambo kibaao kumbe hata pa kulala huna!

Endelea vivyo hivyo, siku ukiacha utakuta wenzio tunamiliki "private jets"

Huwa inaanza vivyo hivyo unavyoandika hapa ola mwisho wa siku unaanza kusema aiseee, ni kweli jamaa anamiliki private jets.
 
Siyo kweli mkuu Mimi najulikana .

Kulingana na historia na mabadiliko ya dunia katika nyanja za uongozi na utawala hilo neno limetumika sana katika kuendeleza mataifa yote duniani.

Ni neno la kawaida hata "Yesu Kristo" , siku moja yule kuhani Mkuu sijui aliitwa Kayafa alisema, bora mtu mmoja afe Taifa lipone.
Kwa hiyo, Yesu Kristo akasurubishwa.

Hivyo, ni bora watu kuwa makini na kuacha kusema ovyo hovyo.
Na wewe uwe makini usije ukawa msema ovyo ovyo ilihali ukijinasibu unakaa/kufanya kazi nje!!
 
Wewe usiejielewa labda unapesa za ndotoni mwenye pesa huwa hana wivu,kinyongo na mtu mwingine pale anapotoa mawazo huru,duniani gani ambayo wewe umezunguka? Muda mwingine mkiona mada zimewazidi kimo ni bora ukakaa kimya usome vitabu

Mmmmmmmh, any way, nakuzidi kila kitu huo ndiyo uzuri.

Ila hakuna, mawazo ya kwenda kuisema nchi yako ukiwa nje kisha useme mtu huyo nimzuri.

Kama wewe, ungekuwa na uelewa mkubwa au mzuri kuliko Mimi usingesifia walichokifanya akina Mr msigwa na wenzie.
 
tutegemee majanga zaidi chadema ikiendelea kuwepo. hiki chama kipo kwa ajili ya kuvuruga amani yetu. hawapendi amani kabisa kabisa.

Itabidi wananchi tuwapinge CDM kwa kuwakataa ila kama wananchi watabebwa na huo upepo basi hali itakuwa siyo njema. Ila kwa bahati mbaya sana, ao hao wananchi ndiyo watakao umia ikitokea amani yetu imeteteleka.

Maana, unawaona hao CDM mikutano na waandishi wanafanyia nje ya nchi maana yake ni kwamba , watachafua amani ya nchi kisha watakimbilia Kenya, USA, German na kote ambako wanapokea misaada.

Kwa hiyo, wananchi tuwe makini makini sana la sivyo tutacheka na CDM, tutavuna mabua
 
Wezi, vibaka, majangili, wanaoshambulia watu, kuuwa watu mchana kweupe, watekaji na watu kama hao polisi haiwaoni wala haiwezi kupata taarifa za ki intelijinsia, Wabunge wa upinzani ndio wakiwa kwenye majukumu yao au wakitaka kufanya mikutano ya kisiasa wanakamatwa - eti kumekuwa na taarifa za kiintelijinsia za uvunjifu wa amani au uchochezi. Hivi hii serikali kutoa magari yote hayo kwenda kumkamata Msigwa wanatutendea haki wananchi kweli? Haya ni matumizi mabaya ya Kodi wanazolipa walala hoi, hii ni aibu kwa serikali. kwani wakimwandikia wito wa polisi haji? Hao polisi wafanye msako wa wahalifu serious kama wanavyotunia nguvu kubwa kuwafuatilia viongozi wa upinzani si nchi ingekuwa shwari sana!!!!!!. Madawa ya kulevya sasa yanauzwa kama pipi, wavuta bangi wapo wengi, wezi na vibaka wamejaa mitaani hawashugulikiwi ipasavyo. Taarifa za ki intelijinsia haziwafikii? Polisi wafahamu kuwa Budget wanayopewa ni ya kudhughulikia uhalifu na sio upinzani
Polisiccm ili apate Cheo lazima kwenye file lake aonyeshe siku alizowabambikia kesi chadema, kwa sasa chadema ni daraja la kujipatia vyeo na Sifa toka kwa Mtukufu na Maliyamungu wake
 
. ....... Hivi hii serikali kutoa magari yote hayo kwenda kumkamata Msigwa wanatutendea haki wananchi kweli? Haya ni matumizi mabaya ya Kodi wanazolipa walala hoi, hii ni aibu kwa serikali. kwani wakimwandikia wito wa polisi haji? Hao polisi wafanye msako wa wahalifu serious kama wanavyotunia nguvu kubwa kuwafuatilia viongozi wa upinzani si nchi ingekuwa shwari sana!!!!!!. i

Mkuu Adolph kuna kitu kikubwa kinakuja.....Jiulize tangu Magu kaingia madarakani anahubiri amani amani ...kwa nini? nchi yetu tumepata uhuru kwa amani tunaishi kwa amani kwa nini yeye kila wakati anahubiri amani????

Tangu Magu ameingia madarakani amefanya vyama vya upinzani ni adui wa nchi anajaribu kutuelewesha kuwa utajiri ni haramu....anajaribu kutuelewesha kuwa ati yeye anamwogopa Mungu....Ukiangalia sana hii karata ya Mungu ndio hope kubwa sana kwetu waafrika ndio maana tukataliwa kwa gia ya kuogopa Mungu na kwa vile wengi wetu ni masikini na tegemeo letu ni Mungu kwa hiyo ni rahisi sana kumwamini mtu anayeimba kuwa anaogopa Mungu.

Vyombo vya dola vyote ameweka watu wake....kiti kitamu sidhani kama kutakuwa na uchaguzi 2020
 
Itabidi wananchi tuwapinge CDM kwa kuwakataa ila kama wananchi watabebwa na huo upepo basi hali itakuwa siyo njema. Ila kwa bahati mbaya sana, ao hao wananchi ndiyo watakao umia ikitokea amani yetu imeteteleka.

Maana, unawaona hao CDM mikutano na waandishi wanafanyia nje ya nchi maana yake ni kwamba , watachafua amani ya nchi kisha watakimbilia Kenya, USA, German na kote ambako wanapokea misaada.

Kwa hiyo, wananchi tuwe makini makini sana la sivyo tutacheka na CDM, tutavuna mabua
Acha kukariri zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM na Lipumba na Bashite Maliyamungu, mwanasiasa hana mipaka anaruhusiwa kuongea popote pale awapo Duniani kwani mnataka Udikteta wenu ufichwe? Lazima Dunia yote iwajue Safari hii wanasheria wa Uingereza wameanza na kote Duniani wataanza kujua polisiccm ni waonevu na wanatumika kuunyanyasa upinzani nchini.
 
Mkuu Adolph kuna kitu kikubwa kinakuja.....Jiulize tangu Magu kaingia madarakani anahubiri amani amani ...kwa nini? nchi yetu tumepata uhuru kwa amani tunaishi kwa amani kwa nini yeye kila wakati anahubiri amani????

Tangu Magu ameingia madarakani amefanya vyama vya upinzani ni adui wa nchi anajaribu kutuelewesha kuwa utajiri ni haramu....anajaribu kutuelewesha kuwa ati yeye anamwogopa Mungu....Ukiangalia sana hii karata ya Mungu ndio hope kubwa sana kwetu waafrika ndio maana tukataliwa kwa gia ya kuogopa Mungu na kwa vile wengi wetu ni masikini na tegemeo letu ni Mungu kwa hiyo ni rahisi sana kumwamini mtu anayeimba kuwa anaogopa Mungu.

Vyombo vya dola vyote ameweka watu wake....kiti kitamu sidhani kama kutakuwa na uchaguzi 2020
Njia pekee ni kumpeleka IGP kwenye mahakama ya ICC The Hague ndipo Mtukufu atazinduka na kuacha unyama wake
 
Tanzania kwa sasa inaongozwa na ndugu zake magufuli karibu kila idara,namnukuu tundu lisu
Ni nani tena leo hii anayebisha kama huyu anayetuongoza ni udikteta?
Tundu lisu huyu anatofauti gani na Mobutu seciko aliyejenga uwanja wa ndege nyumbani kwake?
Magufuli amejaza watu kutoka kanda ya ziwa,na watoto wa dada yake serekalini
Jaji mkuu kanda ya ziwa
Mwanasheria mkuu kanda ya ziwa
Igp kanda ya ziwa
Cdf kanda ya ziwa
Naibu waziri wa nishati na madini mtoto wa dada
Katibu hazina mjomba wake,sasa huyu sio dikteta? Anauliza tundu lisu
Je swali kitendo cha rais magufuli kuweka wasukuma wenzake na watoto wa dada yake serekalini kunachangia na ukandamizaji wa demkrasia ya vyama vingi bila aibu?
Huko Hazina katibu mkuu ni Mtoto wake wa kufikia anaitwa Doto huyo ndiyo huchota pesa Hazina kwa Amri toka juu pasipo ridhaa ya bunge wala waziri wa fedha na kununua ndege, kuwalipa Lipumba na Bashite Maliyamungu kwa ajili ya kuua CUF na kudhoofisha upinzani kwa ujumla, wanakusanya kosi kwa bidii lakini matumizi ni mabaya na ya hovyo kuliko awamu zote pesa nyingi inapotelea kwenye visasi, kukomoana na kubambikiana kesi.
 
Hao ni polisi wasiojulikana nini maana mh msigwa Leo tulikuwa nae njiapanda ya toss kwenye msiba wa Faru Daima na kuna inspects wa polisi aliyekuwepo pale msibani alimpigia salute sasa sijui ndo alikuwa anamvizia
ajidehule msigwa

I
 
Kaidharirisha nchi au uchoro wa ccm ? Bunge butu mahaka haina meno mihimili yote inachuchumikia serkali uuuuuuwiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom