duuh!Zaidi ya watoto 70 wa kituo cha kulelea watoto cha Faraja kilichopo Mgongo kata ya Nduli wamenusurika kifo baada ya kituo chao kuteketea kwa moto.
Moto huo ulidumu kwa saa 12 kuanzia saa 11 jioni hadi saa 11 alfajiri ya leo.
Chanzo: ITV
Balaa gani hii tena!Zaidi ya watoto 70 wa kituo cha kulelea watoto cha Faraja kilichopo Mgongo kata ya Nduli wamenusurika kifo baada ya kituo chao kuteketea kwa moto.
Moto huo ulidumu kwa saa 12 kuanzia saa 11 jioni hadi saa 11 alfajiri ya leo.
Chanzo: ITV