IRINGA: Kituo cha watoto cha Faraja chateketea kwa moto

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,497
Zaidi ya watoto 70 wa kituo cha kulelea watoto cha Faraja kilichopo Mgongo kata ya Nduli wamenusurika kifo baada ya kituo chao kuteketea kwa moto.

Moto huo ulidumu kwa saa 12 kuanzia saa 11 jioni hadi saa 11 alfajiri ya leo.

Chanzo: ITV
 
d

duuh!
 
Balaa gani hii tena!
 
Hapo wataalam washapiga hela hapo.
Hasara zitakazotajwa gawanya kwa watu kadhaa.
Kiasi utakachokipata kwa kichwa kimoja ndo hasara halisi ..
 
Back
Top Bottom