Iringa: DC Kasesela aokoa roho za watu kwenye ajali ya Mlowa

hapo ndio uzuri wa hard top, ingekuwa noah sijui nin kingekuwa kinaongelewa sasa hivi
 
Pole sana majeruh

Nlikua najuw wmeshindwa
Kuinua hilo gar ningeshangaa
Sana kuona chips nazo zmehamia iringa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Ila Kasesera kwa kiki yupo juu. Yeye kuokoa tu. Mara utasikia "... kaokoa watu kwenye mafuriko Idodi, kabeba waathirika kwenye janga. Na hii amenyanyua gari kwa mikono yake mwenyewe..."! Safi lakini.
Nimeshamkumbuka kumbe ni yule mkuu wa wilaya anayeokoa sana kwenye majanga itabidi JPM ampandishe cheo tu anahistoria nzuri ya kuokoa watu katika majanga tena kwa mikono yake mwenyewe
 
Huyo Dc ni msanii wa mapicha picha na kutafuta kick kwenye matukio ya majanga nk.
Vitu kama hivyo sio vya kuja kupost mitandaoni na kujisifia.
Huyo DC bado ana akili ya kitoto sana.
 
Nimeshamkumbuka kumbe ni yule mkuu wa wilaya anayeokoa sana kwenye majanga itabidi JPM ampandishe cheo tu anahistoria nzuri ya kuokoa watu katika majanga tena kwa mikono yake mwenyewe
Sahihi. Ni mcheshi, bado ana nguvu, kichwa chake hutumika kufikiria vema, anajumuika na jamii, mchapakazi nk. He is fine!
 
Dereva aliyetambulika kwa jina moja tu Michael Mkoroma
Hilo ni jina Moja!!!?

alikuta ajali ndio imetokea ikabidi asimame na kuanza kuokoa majeruhi ambapo dereva alikimbizwa hospital ya mkoa na amelazwa wodi 5
Hii ni habari ya kukoleza, maana hapo wanaonekana watu wengi nadhani alijumuika katika uokozi, in real sense he could not do it alone

Ila Kasesera kwa kiki yupo juu. Yeye kuokoa tu. Mara utasikia
Umeona!!! nahisi mwandishi wa thread kapigwa tip kwa madhumuni maalumu bila kujua kuwa wasomaji wana ufahamu wa kutosha zaidi ya ya yeye ajuavyo
 
Naniii tukipiga picha nipost napendaga mafollows.Napendaga makiki kama msanii

great thinker
 
Ila Kasesera kwa kiki yupo juu. Yeye kuokoa tu. Mara utasikia "... kaokoa watu kwenye mafuriko Idodi, kabeba waathirika kwenye janga. Na hii amenyanyua gari kwa mikono yake mwenyewe..."! Safi lakini.
HII KATIKA TASNIA YA HABARI NI SAWA NA MBWA 'KUMKULA' BINADAMU SIO HALISI KAMA BINADAMU 'KUMKULA' MBWA.
 
Back
Top Bottom