Iringa 2019, nikipata mchumba ndo nimefika mazima

Nataka niishi Iringa, watu wake wako poa sana, Kwa mwezi niliokuwa hapa, nabaki. kiubaridi flani hivi cha kula blanket na sweta. Wa Iringa mjini tufahamiane ili ikiwezekana na mke nipate hapa hapa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Bee Mwagito84 uvanzile uuhuro?
Wisaka uwangite wana va vene neke uhuye ukwenyu kunya fidudu, ulagita ndah, inguluvi siiiweenda!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom