Irene uwoya–siwezi kuchuja, mwendo ni ulele

Yani wote mnambania huyo dada kuwa international super star msiwe na roho mbaya hebu lete hizo contact bana! Basi nipeni za lulu, naye mtanibania?
 
wewe ni MPUMBAVU humu ndani sio lazima kuchangia kila post....unaweza kuanza zako huko..

kafie mbele ,,hii ni forum ya macelebritiz,usinunue ugomvi ambao haukuhusu

This is very low of You..
Where is a Proof that you deserved to name Yourself a Saint?
Tumia busara waombe radhi uliowatolea hayo maneno hapo juu..
Vinginevyo, unadhalilisha Intelligence yako Ndugu..
 
This is very low of You..
Where is a Proof that you deserved to name Yourself a Saint?
Tumia busara waombe radhi uliowatolea hayo maneno hapo juu..
Vinginevyo, unadhalilisha Intelligence yako Ndugu..

relaxxx
 
wajamii huyu Uwoya ni mke wa mtu. kwenye Biblia tunafundishwa kwamba ndoa ikifungwa iheshimiwe na watu wote. nasikitika sana jamii yetu haimpi heshima Uwoya kama mke wa mtu. mambo yake huwa hadharani kama vile hana mume. mimi ningependelea habari za ndain za huyu mrembo tuachane nazo. tumpe heshima kama mke wa mtu jamani.
 
Wewe ni bogus mara mia zaidi...
  1. Ya huyo mama yanakuhusu nini kama sio umbea na upashukuna
  2. Kwani hakichuja au asipochuja wewe inakuharibia nini?
  3. Nadhani uangalie zaidi upande wako...........kuliko kudandia wake au waume wa wenzio..

Punguza munkari, hapa ni just for relaxing and changing views only.

 
Ye ajipendezeshe tu lakini asimsahau mwanae, ampatie matunzo stahiki bila kumsahau mumewe ili wajenge familia bora. Gud lucky Uwoya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom