Irene uwoya–siwezi kuchuja, mwendo ni ulele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Irene uwoya–siwezi kuchuja, mwendo ni ulele

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Saint Ivuga, Jun 26, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,371
  Likes Received: 19,601
  Trophy Points: 280
  MUIGIZAJI Super Star katika tasnia ya filamu kwa hapa nchini Tanzania Irene Uwoya amebainisha kuwa pamoja na kuzaa mtoto wake wa Kiume lakini hategemei uzazi huu kumbadilisha uhusika na kuwa tofauti na alivyokuwa akiigiza awali, katika picha alizowahi kuigiza hapo awali, Irene ambaye ni mwenye furaha wakati wote amebahatika kujifungua mtoto wa kiume aliyempatia jina la Krish
  [​IMG]
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kwani kuzaa kunamfanya mtu anachuja au ndo anazidi kuwa mrembo jamani
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,371
  Likes Received: 19,601
  Trophy Points: 280
  anachuja?
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwani ww ndiye Ndikumana au sub?, maana kuchuja au kutochuja kutakusaidia nini?. Nijibu tafadhari.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,371
  Likes Received: 19,601
  Trophy Points: 280
  umesomeka..........
   
 6. s

  shosti JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  sio kweli...nakataa tena kwa asilimia mia
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,371
  Likes Received: 19,601
  Trophy Points: 280
  basi itabidi matunzo na mazoezi
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hapa umeongea,mazoezi ni jambo la msingi sana Ivuga watu tunapuuzia na kula vizuri sio kwa sababu umejifungua kila kinachopita pembeni unapeleka.
   
 9. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mwenye contact zake anisaidie! Niendeleze kipaji chake na amini ulaya,asia,mashariki ya mbali na marekani atajulikana!!!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,371
  Likes Received: 19,601
  Trophy Points: 280
  wewe ni nani?
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,371
  Likes Received: 19,601
  Trophy Points: 280
  Shosti ni kweli lakini mwanamke wa ktz asiponenepeana kitenge atavaaje?? unanisoma shosti
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahahhaahhhahahha nakusoma Ivuga....haya bwana tuwaache na maunene yao wavae vitenge
   
 13. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni muwezeshaji!
   
 14. s

  shosti JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ana mume huyo atamuwezesha,weye kamuwezeshe Lulu anahitaji msaada wako wa hali na mali
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,371
  Likes Received: 19,601
  Trophy Points: 280
  si ungetafuta wamama wauza vitumbua uwawezeshe?
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mbona S Ivuga mkali hivyo au ndo na wewe uko kwenye kinyang'anyiro nin...
   
 17. only83

  only83 JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Wewe ni bogus mara mia zaidi...
  1. Ya huyo mama yanakuhusu nini kama sio umbea na upashukuna
  2. Kwani hakichuja au asipochuja wewe inakuharibia nini?
  3. Nadhani uangalie zaidi upande wako...........kuliko kudandia wake au waume wa wenzio..
   
 18. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ana mume lakini hana mwezeshaji!
   
 19. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bahati imemdondokea wala usiweke kauzibe ndugu! We lete hizo contact ondoa wivu wa kijinga!!
   
 20. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  hahaha mwezeshaji kwenye njanja zipi? be clear.
   
Loading...