Irene uwoya arudi instagram ...

Sijui kwanini wanaume wenzangu wanaponda,mimi hii kitu napiga kabisaa kwa raha zangu,ufeki wake atabaki nao mwenyewe mradi nimekojolea.
 
Huo sasa ni mdoli sio mtu kama kila kitu ni fake.
Hizo nywele ni zake au ndo zile wanazo sema nywele feki rangi feki kucha feki kope feki rangi ya lips feki nyusi feki.

Huku waki mnadi dada mzuri kumbe kabeba tak tak nyingi tuuwiliniwakee
 
Sexy Mama kutoka kwenye kiwanda cha bongo movie , Irene uwoya, amerudi rasmi kwenye page yake ya Instagram , baada ya kuwa kimya kwa takriban Mwaka mzima huku akidai account yake kudukuliwa na hackers , hivi sasa amefanikiwa kuipata account yake na karudi kama ifuatavyoView attachment 1613431
Amekuwa mcharo
 
Hapo tu ndo linaponikera, Lipo kama nguchiro
images (5).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom