Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nchi ya Ireland imesimamisha zoezi la maombi ya passport baada ya kuzidiwa na maombi ktk kwa raia wa Uingereza ambao wanapenda kuwa sehemu ya EU alisema Waziri wa mambo ya nje wa nchi ya Ireland Charles Flanagan, hili limekuja baada ya nchi hiyo (Uingereza) kupiga kura ya kutokuiwa na Imani na Umoja huwo (EU) na kutakiwa kujitoa haraka iwezekanvyo!
Passport ya Ireland inaweza kutolewa kwa yoyote ambaye amezaliwa nchini humo au ana wazazi wa Ireland vile vile kuwa na babu na bibi mwenye asili ya Ireland kutatosha kutimiza masharti ya kuomba passport ya nchi hiyo!