Iraq mourns victims of Baghdad suicide bombing


Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
5,629
Likes
6,195
Points
280
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
5,629 6,195 280
The Iraqi government has declared three days of national mourning after a huge bomb in the capital Baghdad killed at least 125 people and wounded about 150. A lorry packed with explosives was detonated in the Karrada district while families were shopping for the holiday marking the end of Ramadan.

Rescuers said whole families had been wiped out and many victims were burned beyond recognition. So-called Islamic State (IS) has said it carried out the suicide attack.

Prime Minister Haider al-Abadi visited the mainly Shia area on Sunday but his convoy was greeted by angry crowds.

His office later announced the three days of mourning, adding that Mr Abadi understood the angry reaction of residents.

As night fell on Sunday, teams of workers were still clearing debris from the site and searching the charred remnants of buildings.
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,303
Likes
6,752
Points
280
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,303 6,752 280
Very sad... Hawa islamic state wanazingua sana... Sasa hawa jamaa wanatumia msaafu gan ? Au wana mtume wao? Je ni kwamba uislam ndo unasupport mauaji ya aina hiyo kama wao wanavyodeclare?? La hasha hao ni magaidi tu wanaotaka madaraka kwa vivuli vya dini.. Personal co islam ila camin kama uislam ndo unavofundisha...
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,153
Likes
8,884
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,153 8,884 280
Shetani ni shetani tu hata aje kama Malaika wa Nuru daima atabaki kuwa shetani. Na uzuri hata ahuburi kwa lugha nzuri namna gani kazi zake hazina kificho - humdhihirisha alivyo. Bwana abui7 lete maoni yako hapa hao wanaouwana wenyewe kwa wenyewe kama wanyama tena wakiviziana masokoni watu wakifanya shopping za sikukuu! Unajua hamueleweki nyie viumbe?
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,153
Likes
8,884
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,153 8,884 280
Very sad... Hawa islamic state wanazingua sana... Sasa hawa jamaa wanatumia msaafu gan ? Au wana mtume wao? Je ni kwamba uislam ndo unasupport mauaji ya aina hiyo kama wao wanavyodeclare?? La hasha hao ni magaidi tu wanaotaka madaraka kwa vivuli vya dini.. Personal co islam ila camin kama uislam ndo unavofundisha...
Shetani ndugu yangu usiombe! Huja kwa visingizio vingi kikiwapo cha dini kutimiza hila zake! Kuna Al-Shabaab, Boko Haram, ISIS, na baba yao Al-Qaeda hizo ndio kazi zao kwa kisingizio cha dini!
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,303
Likes
6,752
Points
280
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,303 6,752 280
Shetani ndugu yangu usiombe! Huja kwa visingizio vingi kikiwapo cha dini kutimiza hila zake! Kuna Al-Shabaab, Boko Haram, ISIS, na baba yao Al-Qaeda hizo ndio kazi zao kwa kisingizio cha dini!
Killing 120 peoples then unaingia msikitini unaenda kushehereka idd el fitr... Kwel shetan yupo kazini
 
kizaizai

kizaizai

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Messages
2,979
Likes
1,555
Points
280
kizaizai

kizaizai

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2010
2,979 1,555 280
Waliokufa wamefika 215 CNN.
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,153
Likes
8,884
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,153 8,884 280
Waliokufa wamefika 215 CNN.
Dah! Very sad. Hivi kweli binadamu anafikiaje kiwango hiki cha ukatili? Anakuwa amelishwa nini? Hata kama ni brainwashed this is too much! Unavamia tu soko na kulipua watu wanaojinunulia mahitaji yao! Mola tunusuru na balaa hili linaloenezwa kwa jina lako tukufu. Cc: FaizaFoxy Ritz kahtaan Pohamba mohamedidrisa789 abui7
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,153
Likes
8,884
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,153 8,884 280
Idadi ya waliokufa imefikia 285 - CNN.
 

Forum statistics

Threads 1,236,183
Members 475,020
Posts 29,249,043