Iraq Militants Kill Christian; Pope Urges Authorities To Intervene | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iraq Militants Kill Christian; Pope Urges Authorities To Intervene

Discussion in 'International Forum' started by Ladslaus Modest, Jan 26, 2009.

 1. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2009
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Iraq Militants Kill Christian; Pope Urges Authorities To Intervene

  Sunday, January 25, 2009 (4:27 pm)

  Worthy News Middle East Service with Worthy New''s Stefan J. Bos

  BAGHDAD, IRAQ (Worthy News) -- The leader of the Catholic Church, Pope Benedict XVI, has appealed to Iraqi authorities to defend minority Christians, after police confirmed that the Christian owner of a car repair shop was killed, execution-style, in Mosul.

  The body of the 36-year-old man, shot in the head, was found last week Thursday, January 15, raising concern about attacks against Christians in the northern Iraqi city. The slaying of the man, whose name was not immediately identified, came after a series of violent incidents, that forced thousands of Christians fleeing from their homes in Mosul since the fall.

  Pope Benedict XVI said he was concerned about attacks against Christians. “The Christians who live in Iraq are full citizens with the same rights and obligations as everyone, without the distinction of religion,” he said in remarks monitored by Worthy News Sunday, January 25.

  He spoke at a meeting of bishops from Iraq's Chaldean Catholic Church in Vatican City, who presenting him with the stole that belonged to priest Ragheed Ganni, who was murdered together with three deacons in the city of Mosul in March, last year, after he emerged from saying mass.

  The pope also received the the chasuble of Archbishop Paolus Faraj Rahoo, also of Mosul, who was found dead in abandoned land in March, 2008, two weeks after he was abducted from his diocese.

  “I salute their courage” the pope said in remarks aired by Vatican Radio. “Their perseverance in the face of threats and trials. The witness they give is a sign of their strength and faith and of their hope,” he added.

  However he also urged Iraqi bishops to show greater greater unity, at a time of crisis in the country. There were at least some 750,000 Christians still living in the country when the U.S-led invasion began in 2003, however many have since fled to neighboring countries, including Jordan and Syria, churches and advocacy groups have confirmed.

  Source:
  Worthy Christian News » Iraq Militants Kill Christian; Pope Urges Authorities To Intervene
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Nchi za wanyenyekevu ni kaaazi kweli kweli.
   
 3. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Jihad katika Middle East na Islamic states zimekuwapo kwa miaka kadhaa na Wakristo wamekuwa walengwa wakuu. Hayo yamejulikana kwa kuwa Iraq hakuna Serikali imara inayoweza kudhibiti habari lakini kuna persecutions kwa Wakristo kwa miaka mingi.
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kipindi cha Saddam hapakuwepo mauaji hayo.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Jan 26, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwa jina la Allah, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu

  Sifa zote njema anastahiki Allah, Mola mlezi wa viumbe wote, rehema na amani zimshukie Mtume wetu, Muhammad (Swallallahu ‘alayhi wa sallam), jamaa na Maswahaba zake na watangu wema mpaka Siku ya Malipo.

  Uislamu ni dini ya rehema kwa watu wote. Allah (Subhaanahu wa Ta‘ala) Anasema katika Qur’ani Tukufu:

  “Hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu (wote); nazo ni uwongofu na rehema kwa watu wanaoyakinisha”
  (Q 45: 20).

  Kuna uzuri katika Uislamu kwa viumbe wote: kwa wale wanaoamini na wale wasiokuwa Waislamu. Hakika hii inaweza kuthibitishwa na yeyote mwenye uoni na yule tu ambaye ana kiburi au mjinga kwa ukweli wa Uislamu anaweza kukataa fadhila zake. Allah (Subhaanahu wa Ta‘ala) Anasema:

  “Basi uelekeze uso wako sawasawa kwenye Dini - ndilo umbile la Allah Alilowaumbia watu. Hapana mabadiliko katika uumbaji wa Allah. Hiyo ndiyo Dini iliyo nyooka sawa. Lakini watu wengi hawajui”
  (Q 30: 30).


  Ubora na uzuri wa Uislamu uko wazi kabisa kama msitari maarufu wa mashairi ya al-Mutanabbi unavyosema: “Ikiwa mwangaza wa asubuhi unahitaji dalili ya kuwepo kwake, hivyo hakuna chochote kinachoweza kufahamika”. Mtu ambaye ameongoka anafahamu faida ya dini nzuri iliyosafi kwa Waumini, ulimwenguni na Akhera. Ama kwa ule uzuri kwa wasiokuwa Waislamu, dalili kubwa kwa hili ni zile haki ambazo Uislamu umewahifadhia na daraja kubwa zaidi kwa ule ustahamilivu wa kidini ambao Waislamu wameonyesha kwao, hata katika wakati ambapo Waislamu walikuwa wakishinda dhidi ya wasiokuwa Waislamu katika uwanja wa vita. Wana-historia wasiokuwa Waislamu wasiopendelea wameacha ushahidi wa hakika hizi, kama alivyofanya kasisi mkuu Ghaytho, “Waislam ambao Mola mlezi amewapatia udhibiti wa ulimwengu, wanatutendea kama unavyojua; wao si maadui wa Ukristo. Kwa hakika, wanaisifu jamii yetu, na kuwawekea heshima makasisi na watawa wetu na kusaidia makanisa na mahekalu yetu”

  Endelea Hapa Tafadhali:
  Haki Za Wasio-waislamu Katika Nchi Ya Kiislamu
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  He he he he..

  Wajameni tuite ambulance ya Mirembe au? Hii ni nini sasa wajameni?
   
 7. K

  Koba JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ....seems mungu wao kawaambia wao ndio wenye haki ya kuishi kuliko wasio waislam,ajabu kweli kweli hizi dini, lakini cha ajabu huyo huyo Pope haachi kuonyesha chuki zake za wazi kwa wale wasioamini na kuishi according to their teachings kama homosexuals,dini zilishanichosha na kuziona ni usanii tuu...islam/xtian wanafikiri kila mtu asipoamini upuuzi wao hataenda mbinguni(sijui iko wapi) wanasahau kuna watu karibu bilion moja wanaabudu ng'ombe na wengine billions hawajawahi kukanyaga kwenye nyumba zinazoitwa kanisa au misikiti...too bad majority ya JF members ni either wana akili ya hao crooks walioua hao christian or wana akili za pope!
   
 8. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2009
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Siku za mwisho,na ndio kazi ya mpinga kirsto,,asomaye na afahamu,,,mwenye macho haambiwi tazama,,,,mwenye haki na azidi kutenda haki,mwovu na azidi kuwa mwovu,mwenye kudhulumu na azidi kudhulum,,,Yesu kristo yu karibu kurudi
   
Loading...